Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Lilikuwepo?
 
Ukiangalia definition ya flyover, utashindwa kuelewa wanaopinga ile ya tazara sio flyover wanatumia definition ipi.Au ndio mwendelezo wa kupinga kila kitu?
wivu kitu kibaya sana!
 
Ukiangalia definition ya flyover, utashindwa kuelewa wanaopinga ile ya tazara sio flyover wanatumia definition ipi.Au ndio mwendelezo wa kupinga kila kitu?
Hawa jamaa wanaona sifa kuwa vichwa maji. Ndio maana hata makao makuu yao bado yapo yapo tu. Hayaeleweki kama ni banda la kufugia kuku au ofisi za chama.
 
Hawa jamaa wanaona sifa kuwa vichwa maji. Ndio maana hata makao makuu yao bado yapo yapo tu. Hayaeleweki kama ni banda la kufugia kuku au ofisi.
Hahahahah[emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] haiwezekani mtu ashindwe hata kugoogle kujiridhisha maana ya flyover. Anaandaa desa refu limejaa pumba tupu.Eti lile ni daraja sio flyover.
 
Maendeleo ni kuwa na uhakika wa kula milo yote mitatu na kwa menu nzuri, watu kupatiwa elimu nzuri, huduma nzuri ya afya, maji nk. Flyover ya Tazara, sio kipaumbele.
Wakulima wanamwaga mazao kisa bei ndogo ila wewe huna uhakika wa milo mitatu, daah
 
Hahahahah[emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] haiwezekani mtu ashindwe hata kugoogle kujiridhisha maana ya flyover. Anaandaa desa refu limejaa pumba tupu.Eti lile ni daraja sio flyover.
Aisee yaani wanachosha ile mbaya.
 
Hawa jamaa wanaona sifa kuwa vichwa maji. Ndio maana hata makao makuu yao bado yapo yapo tu. Hayaeleweki kama ni banda la kufugia kuku au ofisi za chama.
Miaka zaidi ya 25 wanakodisha jengo la baba mkwe wa chama
 
Changamoto za Ulaya hazitokani na maamuzi ya kukurupuka, kutofutwa bajeti, mtu mmoja kuwa na maamuzi ya kila kitu, vipaumbe vibovu, kupuuza sekta muhimu za kiuchumi na kibiashara katika nchi, n.k
Kumbe hujui hata unachopigania,wewe mfia chama ila any way mbeleni mtakuja kutawala.

Je ule uamuzi wa kumkaribisha Lowassa na kumuacha Dr Slaa sio wa kukurupuka?
 
Haya maswali sio mazuri mkuu
 
Kumbe hujui hata unachopigania,wewe mfia chama ila any way mbeleni mtakuja kutawala.

Je ule uamuzi wa kumkaribisha Lowassa na kumuacha Dr Slaa sio wa kukurupuka?
Kumbe nabishani na roboti!!
 
Mkuu hako flyover unakokaona hapo, wazungu wa Africa kusini walijenga nyingi na maendeleo kemkem lakini bado waliondolewa madarakani. Kama flyover zingekuwa zinawagusa watu kwa hivyo tusingeona huu ukatili na ukiukwaji mkubwa wa sheria za uchaguzi ili ccm ishinde.
 
Hakuna mtu ana muda wa kuonyesha appreciation kwa dhalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…