Kwani maana ya "to fly over" ni nini mkuu.Maana yake ni "kupita juu ya." Kwa hiyo hata daraja ni flyover kwa kuwa linapita juu ya maji na nfact hata flyover ni daraja .
Ile ya Ubongo inayotoka kwenye kituo cha DART kwenda kwenye kituo cha mabasi Ubungo ni flyover pia!Kwa maana hiyo uliyotuletea ni
flyover yes,lakini ya TAZARA pia ni flyover kwa kuwa inapita juu ya barabara!Tofauti kati ya zile flyovers ulizotuletea kwenye picha na ya TAZARA ni kwamba uliyotuletea represents many flyovers or passovers.Acheni ushamba jamani.
Usisahau pia kwamba flyovers zinajengwa out of need.Sisi bado hatuna idadi ya magari kubwa kiasi cha kuhitaji
ma-flyover uliyotuletea mkuu.
Lakini,si afadhali Magufuli hata hiyo flyover moja tumeiona,na bado zitajengwa zingine,mbona hatukuwahi kuona huko nyuma hata flyover moja,si walikuwa wanafuja tu hela za Watanzania,tuonyeshe appreciation jamani.