ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hilo daraja kama la manzese sio flyover
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ubuyu ulianza kuota kama mchicha.View attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
Mkuu huko nyuma mikopo ilikuwepo, lakini jamaa walipiga,si afadhali huyu vitu tunaviona?Acheni hizo.
Tunajivunia uoga wa manyumbuKwa hiyo miaka zaidi ya 50 ya uhuru ccm mnajivunia hilo daraja?!
Mkuu sosoliso, Roma haikujengwa ndani ya siku moja. Taratibu tutafika tuendako.View attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
Lumumba? Nipo chuga arif, ww endelea kunyonya vinyeo vya nyumbuWewe una uzalendo gani zaidi ya kulamba makalio ya wakubwa hapo Lumumba
Dah,hivi unajua concept ya team work na uwajibikaji wa pamoja kweli wewe.Na hivi unajua nguvu aliyonayo Executive President kweli wewe over his Ministers.Tafakari.Wakati huko nyuma wakipiga hiyo mikopo si alikuwa waziri, alichukua hatua gani, hata ya kujiuzulu ili kuonyesha ni msafi?
Kwan Tazara iliyojengwa imejengwa kwa kiasi kipi. Magu ni Rais wa Tz hasisifiwe kwa maendeleo ya kamkoa kamoja. Bora ht ungempongeza bashiteTAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...
Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.
Watapata tabu sana.
Najivunia
View attachment 813205
Dah,hivi unajua concept ya team work na uwajibikaji wa pamoja kweli wewe.Na hivi unajua nguvu aliyonayo Executive President kweli wewe over his Ministers.Tafakari.
Usipokubaliana na jambo lolote njia ya sahihi ni kujiuzuru, acha kuandika mavi hapa. Au hujui ni kwa nini Mrema aliondoka ccm?Dah,hivi unajua concept ya team work na uwajibikaji wa pamoja kweli wewe.Na hivi unajua nguvu aliyonayo Executive President kweli wewe over his Ministers.Tafakari.
Sawa,unaweza kumpeleka Ng'ombe majini, lakini huwezi kumlazimisha kunywa.Teamwork kwenye uovu na mikataba ya wizi? Huyu ni mpigania tumbo tu na uchu wa madaraka hana zaidi ya hilo. Mtetee upendavyo ila tunaweza kupepeta pumba na mchele.
It is easier said than done,hasa unapoangalia msururu wa wategemezi ulioko nyuma yako.Sidhani kama wewe binafsi ungefanya hivyo.Unachojaribu kufanya ni to prepare a fertile ground for hate against Magufuli,kwa mwenye akili hili liko wazi.Usipokubaliana na jambo lolote njia ya sahihi ni kujiuzuru, acha kuandika mavi hapa. Au hujui ni kwa nini Mrema aliondoka ccm?
Chuga hakuna watu wapuuzi kama wewe.Lumumba? Nipo chuga arif, ww endelea kunyonya vinyeo vya nyumbu
Wewe ndio nyumbu unaelamba makalio ya wakubwa hapo lumumba ili mkono uende kinywaniTunajivunia uoga wa manyumbu
wanakwambia hawana dolaHalafu ukiwakumbusha wanakuwa wakali hao, duh.
Ndio maana Mbowe anaendelea kutanua tu kwa raha zake.wanakwambia hawana dola
Kwa iyo unadhani nipo wapi nyumbu zero brain wewe, nipe mji, na mtapata tabu sana.Chuga hakuna watu wapuuzi kama wewe.
Utakua mgogo wa huko dodoma ndio wanapatikana misukule ya ccmKwa iyo unadhani nipo wapi nyumbu zero brain wewe, nipe mji, na mtapata tabu sana.