Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Mkuu huko nyuma mikopo ilikuwepo, lakini jamaa walipiga,si afadhali huyu vitu tunaviona?Acheni hizo.

Wakati huko nyuma wakipiga hiyo mikopo si alikuwa waziri, alichukua hatua gani, hata ya kujiuzulu ili kuonyesha ni msafi?
 
Wakati huko nyuma wakipiga hiyo mikopo si alikuwa waziri, alichukua hatua gani, hata ya kujiuzulu ili kuonyesha ni msafi?
Dah,hivi unajua concept ya team work na uwajibikaji wa pamoja kweli wewe.Na hivi unajua nguvu aliyonayo Executive President kweli wewe over his Ministers.Tafakari.
 
TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...

Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.

Watapata tabu sana.
Najivunia

View attachment 813205
Kwan Tazara iliyojengwa imejengwa kwa kiasi kipi. Magu ni Rais wa Tz hasisifiwe kwa maendeleo ya kamkoa kamoja. Bora ht ungempongeza bashite
 
Dah,hivi unajua concept ya team work na uwajibikaji wa pamoja kweli wewe.Na hivi unajua nguvu aliyonayo Executive President kweli wewe over his Ministers.Tafakari.

Teamwork kwenye uovu na mikataba ya wizi? Huyu ni mpigania tumbo tu na uchu wa madaraka hana zaidi ya hilo. Mtetee upendavyo ila tunaweza kupepeta pumba na mchele.
 
Dah,hivi unajua concept ya team work na uwajibikaji wa pamoja kweli wewe.Na hivi unajua nguvu aliyonayo Executive President kweli wewe over his Ministers.Tafakari.
Usipokubaliana na jambo lolote njia ya sahihi ni kujiuzuru, acha kuandika mavi hapa. Au hujui ni kwa nini Mrema aliondoka ccm?
 
Enyi Watanzania ni nani aliyewatia huu ushamba wa kuponda kila kilicho cha kwako ata kama kinakuwa na faida japo ndogo na kusifia vya watu ata kama hufaidiki ata kidogo, ni nani nauliza ?
 
Teamwork kwenye uovu na mikataba ya wizi? Huyu ni mpigania tumbo tu na uchu wa madaraka hana zaidi ya hilo. Mtetee upendavyo ila tunaweza kupepeta pumba na mchele.
Sawa,unaweza kumpeleka Ng'ombe majini, lakini huwezi kumlazimisha kunywa.
Usipokubaliana na jambo lolote njia ya sahihi ni kujiuzuru, acha kuandika mavi hapa. Au hujui ni kwa nini Mrema aliondoka ccm?
It is easier said than done,hasa unapoangalia msururu wa wategemezi ulioko nyuma yako.Sidhani kama wewe binafsi ungefanya hivyo.Unachojaribu kufanya ni to prepare a fertile ground for hate against Magufuli,kwa mwenye akili hili liko wazi.

Hata hivyo kubaki kwake kwenye system kumemsaidia sana,kwa vile sasa amepata nafasi ya kui-mold jinsi atakavyo.Ange-resign mapema labda system ingeendelea kuoza at the detriment of Tanzanians.
 
Back
Top Bottom