eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
sasa hiyo ya Tazara ni barabara,ww uliona wapi flyover ya MITA 200
Fly over inatakiwa kuwa na mita ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hiyo ya Tazara ni barabara,ww uliona wapi flyover ya MITA 200
Chaga pure, mbwiga wewe.Utakua mgogo wa huko dodoma ndio wanapatikana misukule ya ccm
Dah,hivi unajua concept ya team work na uwajibikaji wa pamoja kweli wewe.Na hivi unajua nguvu aliyonayo Executive President kweli wewe over his Ministers.Tafakari.
Wewe ni msukule wa Lumumba na utatumika mpaka kiamaChaga pure, mbwiga wewe.
Mbwiga najitumikia, na nishakwambia sipo lumumba, nipo chuga. Sasa wewe baki hapo na unyumbu wakoO
Wewe ni msukule wa Lumumba na utatumika mpaka kiama
Utapataje hela bila ya kufanya kazi? Na ife basina wewe mpe tuzo ya fly over ili moyo wako utulie! Watu hatuna hela we unaleta mambo ya fly over, yaani ni kama watoto wa kota wanapoenda uswahilini na stori za isidingo! Leta uchumi mefukoni shubamitii..!
Fanya kazi ule kwa jasho lakoMaendeleo ni kuwa na uhakika wa kula milo yote mitatu na kwa menu nzuri, watu kupatiwa elimu nzuri, huduma nzuri ya afya, maji nk. Flyover ya Tazara, sio kipaumbele.
una uhakika sifanyi kazi? Au umeishiwa hoja!?Utapataje hela bila ya kufanya kazi? Na ife basi
complexity ya flyover inategemeana na mahitaji, mahitaji ya TAZARA kwa sasa ni flyover unayoiona, Mataa ya ubungo kutokana na wingi wa magari inajengwa inayolingana na mahitaji ya ubungo pia, SERIKALI HAIJENGI KWA SIFA, INAJENGA KUKIDHI MAHITAJI YALIYOPO!View attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
😀😀😀😀😱😱Hili daraja halina tofauti sana na lililopo Mtoni Mtongani kasoro la Mtongani juu inapita treni ya Tazara chini magari na hili juu yanapita nagari kuelekea mjini na Pugu chini kuelekea Buguruni na Temeke, hii ni barabara ya zamani.
Interchange..View attachment 813233
Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
We jamaa mshamba kweli.. Jua kutofautisha interchange na flying over..Ha ha ha.. Jibu unalo kumbe.. kwamba hizo zimepishana.. ya Tazara ni daraja, maana ni Nyerere road tuu inayopita juu.. Hapo sio kudharau chetu Mkuu.. Tunajivunia kupata daraja Tazara..
TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...
Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.
Watapata tabu sana.
Najivunia
View attachment 813205