Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Muonekano Mpya wa TAZARA Flyover

Dah,hivi unajua concept ya team work na uwajibikaji wa pamoja kweli wewe.Na hivi unajua nguvu aliyonayo Executive President kweli wewe over his Ministers.Tafakari.


MKULU nimegundua hapa tupo watu wa aina nyingi SANA.
Kama huyu jamaa https://www.jamiiforums.com/members/tindo.55693/ hajui HATA constitutional law, hivyo hajui what is ministerial responsibility pia hata ile collective responsibility. Sasa kuanza naye mjadala ni shidaa.
 
na wewe mpe tuzo ya fly over ili moyo wako utulie! Watu hatuna hela we unaleta mambo ya fly over, yaani ni kama watoto wa kota wanapoenda uswahilini na stori za isidingo! Leta uchumi mefukoni shubamitii..!
Utapataje hela bila ya kufanya kazi? Na ife basi
 
Maendeleo ni kuwa na uhakika wa kula milo yote mitatu na kwa menu nzuri, watu kupatiwa elimu nzuri, huduma nzuri ya afya, maji nk. Flyover ya Tazara, sio kipaumbele.
Fanya kazi ule kwa jasho lako
 
View attachment 813233

Hiyo ya kwetu unaiita Flyover, na hii utaiitaje Mkuu..? Pale Tazara lile ni daraja Mkuu..
complexity ya flyover inategemeana na mahitaji, mahitaji ya TAZARA kwa sasa ni flyover unayoiona, Mataa ya ubungo kutokana na wingi wa magari inajengwa inayolingana na mahitaji ya ubungo pia, SERIKALI HAIJENGI KWA SIFA, INAJENGA KUKIDHI MAHITAJI YALIYOPO!
 
Hili daraja halina tofauti sana na lililopo Mtoni Mtongani kasoro la Mtongani juu inapita treni ya Tazara chini magari na hili juu yanapita nagari kuelekea mjini na Pugu chini kuelekea Buguruni na Temeke, hii ni barabara ya zamani.
😀😀😀😀😱😱
 
Ha ha ha.. Jibu unalo kumbe.. kwamba hizo zimepishana.. ya Tazara ni daraja, maana ni Nyerere road tuu inayopita juu.. Hapo sio kudharau chetu Mkuu.. Tunajivunia kupata daraja Tazara..
We jamaa mshamba kweli.. Jua kutofautisha interchange na flying over..
 
TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...

Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.

Watapata tabu sana.
Najivunia

View attachment 813205
 

Attachments

Back
Top Bottom