King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha huko anakoelekea atakua vampire badala ya mdoli
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Jamii ya watu wa Alibino ilikua inazaraulika sana huko nyuma, lakini sasa hivi naona mtu kufanana na jamii hii inalipa sana! Hongereni sana jamii ya watu wa Alibino!Huu ndio muonekano mpya wa wema sepetu huku akisema eti amefanana na Mdoli
""Neno la Kipuuzi likiongelewa Kizungu Mswahili anaona sawa sawa""
By Mwl. JK Nyerere.
Yaani kwakujibua hivyo anaona sawa sawa.
Wemaa
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sehemu za miguuni na mapajani yukoje?
Sehemu za miguuni na mapajani yukoje?