muonekano mpya wa wema sepetu

muonekano mpya wa wema sepetu

Huu ndio muonekano mpya wa wema sepetu huku akisema eti amefanana na Mdoli
Jamii ya watu wa Alibino ilikua inazaraulika sana huko nyuma, lakini sasa hivi naona mtu kufanana na jamii hii inalipa sana! Hongereni sana jamii ya watu wa Alibino!
 
Akija kupata ajali huyu.
Na huo mkorogo atapata kansa maana hilo tabaka la juu alilolitoa ndio la ulinzi.
 
""Neno la Kipuuzi likiongelewa Kizungu Mswahili anaona sawa sawa""

By Mwl. JK Nyerere.


Yaani kwakujibua hivyo anaona sawa sawa.

Kwa mfano ukisema "fcku you" hata mbele ya mama mkwe ni poa...sasa ongea neno hilo kwa kiswahili uuone moto wake.....
 
Back
Top Bottom