samahini,ivi kunasehemu ya kupumzika kwa abiria wanaosubiri usafiri wa siku inayofuata?Wawepo tu muhim wapangwe vzr na wajengewe sehem nzur, wawe machinga wa kisasa
Wanasiasa wegineo wakiambiwa kuwa hawana Akili na ni Washamba wasiwe wananuna au kuwatupa Watu Mto Malagarasi au kwenye Majoka pia.Jna nimerudi toka safari mule ndani ya stendi
Ilikuwa vurugu tupu kitendo cha kuwqruhusu wamachinga,wauza mayai ya kuchemsha,mama ntilie sijui kama stendi ile itadumuu
Cha ajabu mule ndani wapiga debe kama kawa wapo
OvaView attachment 1715275
Ile Team Tetea Mwanasiasa Mpumbavu kwa Madini haya uliyoyaandika hapa kamwe hawatoweza Kukuelewa Ndugu ila Sisi Werevu tumekuelewa.Hiyo mindset mlivyokuwa nayo ndy inawaletea
Kasumbaa .....hiyo stendi muda si mrefu itakuwa kama ya zamani ubungo pale
Kama umeamua kufanya vitu ki standrad kila kitu endesha hivyo
Ova
borraa umewahi kustuka ungeogeshwa sasahivi mai ya mtaroniOhooo!!
Yaishe mzee!!
Dah!!borraa umewahi kustuka ungeogeshwa sasahivi mai ya mtaroni
Meko ni uselessKama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta Kero naomba waruhusiwe pia kwenda pale JNIA Terminal III haraka sana.
Kama kweli Wanasiasa wetu nchini Tanzania wanawapenda kweli kweli Watu (Wananchi) wao hasa Masikini ( Walalahoi ) basi wasiishie tu kutafuta Sifa za Kiumaarufu kwa Kuwaruhusu waingie ndani kabisa ya Stendi mpya ya Mbezi Kufanya Biashara zao bali wawaruhusu pia kuingia JNIA Terminal III, KIA na kama kweli tunawapenda basi waruhusiwe kuingia hadi Ikulu Magogoni na Chamwino.
Inakera!
and harmful to the Nation.Meko ni useless
Hakuna usimamizi wengine kituo hicho tangu kifunguliwe tushakitumia lbda nyie wazee wa kuangalia youtube na google....Lazima kutakua na usimamizi
Hakuna uhuru bila taratibu
Wewe ni maskini au tajiri?Hivi kwann masikini wanajiona wao nd watu kuliko matajiri yani wanataka shari muda wote, walalamishi muda wote. Mi nawaambia nyny masikini acheni ubaguzi wa kishamba unaoletwa na chuki na wivu. Mnamuona bakhresa kinyago anawalipia kodi kubwa sana ila mnachafua mazingira ambayo mwenzenu anaishi, Mo anaishi, akina GSM na wengineo wengi. Wanawapa ulaji kwa ajira ambayo serikalini hamuezi pata wanawalipia na kodi. Kwann hamtaki kufuata utaratibu kwann serikali ikitaka kuwapa maeneo mnakuwa na vinyongo? Hatuwezi kuwa na nchi isiyo staarabika miaka yote kiasi hichi. Niwaulize swali nyi ni akina nani hasa? Umuhimu dhidi ya matajiri ni upi hasa? Matajiri wamewafanya muwe masikini? Badilikeni mkipewa maeneo basi muwe waelewa sio ulalamishi wa uongo uongo 2. Mnawapa presha viongozi wanafanya kazi bila weledi 100% maan hakuna anaependa kuzomewa hovyo.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
achana nae asikutingishe tumbo la uzazi shemeji.. [emoji3061]
Hicho ni kielelezo cha misingi mibovu ya uchumi. Tanzania soko la ajira ni jembamba sana ndiyo maana mpaka vijana waliomaliza vyuo vikuu wanakimbilia kufanya biashara za kutembeza bidhaa za madukani.Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta Kero naomba waruhusiwe pia kwenda pale JNIA Terminal III haraka sana.
Kama kweli Wanasiasa wetu nchini Tanzania wanawapenda kweli kweli Watu (Wananchi) wao hasa Masikini ( Walalahoi ) basi wasiishie tu kutafuta Sifa za Kiumaarufu kwa Kuwaruhusu waingie ndani kabisa ya Stendi mpya ya Mbezi Kufanya Biashara zao bali wawaruhusu pia kuingia JNIA Terminal III, KIA na kama kweli tunawapenda basi waruhusiwe kuingia hadi Ikulu Magogoni na Chamwino.
Inakera!
Nenda Mangaka upate taswiraHii stend sisi wa Mtambaswala bila picha mnafanya tunavuta sana taswira za kufikirika. Tusaidieni picha basi
Unajenga barabara linageuzwa soko, bus stand inageuzwa kuwa soko.........Hao wamachinga na si ni watu wacha wafanye biashara zao na wapange nyanya na vitunguu pia, haki sawa
Kwani wanaokerwa na tabia mbovu inawafanya wasiwe watanzania? Hawa jmaa wanakera na ni vibaya kumkera mwenzio. Toka lini mtu mchafu akakumbatiwa na jamii?Ofsi sio sehemu inafanyika biashara
Stend ni sehemu ya watu kufanya biashara, ni haki ya kila mtu kufanya biashara, stend ni ya Watanzania wote maskini na tajiri, kama unaona huo ni uchafuzi na unakuboa, Jenga stend yako ama boresha nyumbani kwako pakuvutie ili uvinjali zaidi
Ndiyo Ukweli WenyeweTulia wewe, sisi wanyonge ndio wapiga kura wake. Msitusumbue, au nasema uongo ndugu zangu ?
Kwa kweli inakera sana. Rais ajaye atakuwa na kazi kubwa ya kusafisha miji. Ni michafu kupindukia. Yakifanyika mashindano ya usafi wa miji ulimwenguni kote miji ya Tanzania ndo itashika namba. za mwisho.Hao wamachinga na si ni watu wacha wafanye biashara zao na wapange nyanya na vitunguu pia, haki sawa
Hili ulilosema halijafanyikaWawepo tu muhim wapangwe vzr na wajengewe sehem nzur, wawe machinga wa kisasa