Muonekano mzuri wa Stendi mpya ya Mbezi umeharibiwa na Siasa zetu za kutafuta sifa kwa Wanyonge waliobatizwa Masikini

Muonekano mzuri wa Stendi mpya ya Mbezi umeharibiwa na Siasa zetu za kutafuta sifa kwa Wanyonge waliobatizwa Masikini

Jna nimerudi toka safari mule ndani ya stendi
Ilikuwa vurugu tupu kitendo cha kuwqruhusu wamachinga,wauza mayai ya kuchemsha,mama ntilie sijui kama stendi ile itadumuu
Cha ajabu mule ndani wapiga debe kama kawa wapo

OvaView attachment 1715275
Wanasiasa wegineo wakiambiwa kuwa hawana Akili na ni Washamba wasiwe wananuna au kuwatupa Watu Mto Malagarasi au kwenye Majoka pia.
 
Hiyo mindset mlivyokuwa nayo ndy inawaletea
Kasumbaa .....hiyo stendi muda si mrefu itakuwa kama ya zamani ubungo pale
Kama umeamua kufanya vitu ki standrad kila kitu endesha hivyo

Ova
Ile Team Tetea Mwanasiasa Mpumbavu kwa Madini haya uliyoyaandika hapa kamwe hawatoweza Kukuelewa Ndugu ila Sisi Werevu tumekuelewa.
 
Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta Kero naomba waruhusiwe pia kwenda pale JNIA Terminal III haraka sana.

Kama kweli Wanasiasa wetu nchini Tanzania wanawapenda kweli kweli Watu (Wananchi) wao hasa Masikini ( Walalahoi ) basi wasiishie tu kutafuta Sifa za Kiumaarufu kwa Kuwaruhusu waingie ndani kabisa ya Stendi mpya ya Mbezi Kufanya Biashara zao bali wawaruhusu pia kuingia JNIA Terminal III, KIA na kama kweli tunawapenda basi waruhusiwe kuingia hadi Ikulu Magogoni na Chamwino.

Inakera!
Meko ni useless
 
Ile Team Tetea Mwanasiasa Mpumbavu kwa Madini haya uliyoyaandika hapa kamwe hawatoweza Kukuelewa Ndugu ila Sisi Werevu tumekuelewa.
Ona haoo acha niwaweke na ushahidi hao wazee wa kuzungumzia mambo bila kujua uhalisia wowote
mama D

Ova
20210228_080334.jpg
 
Hivi kwann masikini wanajiona wao nd watu kuliko matajiri yani wanataka shari muda wote, walalamishi muda wote. Mi nawaambia nyny masikini acheni ubaguzi wa kishamba unaoletwa na chuki na wivu. Mnamuona bakhresa kinyago anawalipia kodi kubwa sana ila mnachafua mazingira ambayo mwenzenu anaishi, Mo anaishi, akina GSM na wengineo wengi. Wanawapa ulaji kwa ajira ambayo serikalini hamuezi pata wanawalipia na kodi. Kwann hamtaki kufuata utaratibu kwann serikali ikitaka kuwapa maeneo mnakuwa na vinyongo? Hatuwezi kuwa na nchi isiyo staarabika miaka yote kiasi hichi. Niwaulize swali nyi ni akina nani hasa? Umuhimu dhidi ya matajiri ni upi hasa? Matajiri wamewafanya muwe masikini? Badilikeni mkipewa maeneo basi muwe waelewa sio ulalamishi wa uongo uongo 2. Mnawapa presha viongozi wanafanya kazi bila weledi 100% maan hakuna anaependa kuzomewa hovyo.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Wewe ni maskini au tajiri?
 
Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta Kero naomba waruhusiwe pia kwenda pale JNIA Terminal III haraka sana.

Kama kweli Wanasiasa wetu nchini Tanzania wanawapenda kweli kweli Watu (Wananchi) wao hasa Masikini ( Walalahoi ) basi wasiishie tu kutafuta Sifa za Kiumaarufu kwa Kuwaruhusu waingie ndani kabisa ya Stendi mpya ya Mbezi Kufanya Biashara zao bali wawaruhusu pia kuingia JNIA Terminal III, KIA na kama kweli tunawapenda basi waruhusiwe kuingia hadi Ikulu Magogoni na Chamwino.

Inakera!
Hicho ni kielelezo cha misingi mibovu ya uchumi. Tanzania soko la ajira ni jembamba sana ndiyo maana mpaka vijana waliomaliza vyuo vikuu wanakimbilia kufanya biashara za kutembeza bidhaa za madukani.

Zamani machinga alikuwa ni darasa la 7 kwenda nyuma na hususan watu wa Mtwara. Ila sasa hivi kila kabila na kila kiwango cha elimu kina machinga.

Watengeneza sera wetu wamepotea sana katika hili. Namkumbuka Lowassa mwaka 2014 au 2015 alisema ajira kwa vijana ni bomu linalosubiriwa kupasuka.

Awamu ya 5 chini ya MEKO au JIWE kwanza yenyewe haiajiri mpaka itokee dharura, hivyo kwa miaka 5 yawezekana kati ya graduates 50,000 waliofuzu pengine imeajiri 4,000 tu, chini ya 10%

Pili Awamu ya 5 inapiga vita sekta binafsi kwa kufilisi mabenki, kuwanyang'anya fedha matajiri, kuwa harass matajiri Kama Yusuf Manji, kuwabambikiza madai ya UWONGO makampuni ili Serikali ipate fedha kama Halotel, Vodacom etc

Halafu mazingira ya uwekezaji si rafiki. Toka aliookuja DANGOTE wakati wa JK hakuna muwekezaji mwingine serious aliyeongezeka nchini kwa miaka 5 ambaye angeleta mtaji na ajira. Sasa watu wanaendelea kuzaliana, wahitimu wanaongezeka kufuzu, Ila AJIRA zinapungua.

Wachumi wanasema "there is inverse relationships between population growth against economic expansion".

Mwishowe mtoa mada nilitaka nikuambie kuwa hali unayoiona Ubungo ndiyo hali halisi ya uchumi wa Tanzania mnaoambiwa umehamia uchumi wa kati. Ni aibu hata pale City Centre karibu na Sanamu ya Askari upande wa IPS kuna Mama Ntilie wanapika kwa mkaa na kuni
 
Ofsi sio sehemu inafanyika biashara

Stend ni sehemu ya watu kufanya biashara, ni haki ya kila mtu kufanya biashara, stend ni ya Watanzania wote maskini na tajiri, kama unaona huo ni uchafuzi na unakuboa, Jenga stend yako ama boresha nyumbani kwako pakuvutie ili uvinjali zaidi
Kwani wanaokerwa na tabia mbovu inawafanya wasiwe watanzania? Hawa jmaa wanakera na ni vibaya kumkera mwenzio. Toka lini mtu mchafu akakumbatiwa na jamii?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Tulia wewe, sisi wanyonge ndio wapiga kura wake. Msitusumbue, au nasema uongo ndugu zangu ?
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😀😁😂🤣🤣🤣😃😃😍😍😅😄😆😘😍
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Hao wamachinga na si ni watu wacha wafanye biashara zao na wapange nyanya na vitunguu pia, haki sawa
Kwa kweli inakera sana. Rais ajaye atakuwa na kazi kubwa ya kusafisha miji. Ni michafu kupindukia. Yakifanyika mashindano ya usafi wa miji ulimwenguni kote miji ya Tanzania ndo itashika namba. za mwisho.
 
Back
Top Bottom