Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Tumzungumzie bakhresa ndugu, mimi siwezi kuja kuwa masikini wa kulia lia na serikali ili nipewe uhuru wa kuharibu mali za taifa langu. Watanzania wenzangu wanafanya kazi kwa bidii wanalipa kodi zinatengeneza mali anakuja mtu analipa 20k mwaka mzima, hanunui simu ya gharama, hasomeshi mtt kwa gharama, hanunui chakula cha gharama, haendi tour hata siku moja, hapandi ndege hata siku moja, haagizi gari hata siku moja, haagizi mzigo hata siku moja, halafu anachafua na kuharibu vile wanavopigania wenzie. Kesho inakuja gharama ya ukarabati anatoa 20k serious!?Wewe ni maskini au tajiri?
Kumbuka anayeongea ni mlipa kodi wa uhakika!Tulia wewe, sisi wanyonge ndio wapiga kura wake. Msitusumbue, au nasema uongo ndugu zangu ?
Wala hawajawaza kufanya.Hili ulilosema halijafanyika
Umesema ujinga kwa sababu maeneo yote mawili yanahudumia wasafiri wenye mahitaji sawa ya safari yanayopatikana kwa Machinga na Mamalishe. Msafiri Msukuma kama wewe anasafiri toka Dar es Salaam madege ya Magufuli yapo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa anakata tiketi yake, atanunua zawadi huyooo anatelemka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chato na zawadi alizonunua kwa Machinga. Mlugulu anakwenda kwao Mji kasoro Bahari kusalimia ndugu anakata Tiketi yake Magufuli Bus Stand huyooo na Hood Bus Service mpaka Moro Stand ya Kisasa iliyofunguliwa na Magufuli, anatelemka na zawadi alizonunua kwa Mamantilie. Kila kitu Magufuli hata ile Nyumba ya TANU Lumumba iliyofunguliwa karibuni!Nimesema huwezi linganisha airport na stand ya mabas, huelewiπ
unaenda nikupelekeJina lako kidogo tu lisomeke kwa mpalange!
Na wewe unanikumbusha mbali miaka hiyo tulipokwenda kusoma Ulaya, mwanafunzi mwenzetu Msukuma alipata shida sana kula kwa uma na kisu hasa wali maana chakula chote kikawa kinadondoka sakafuni mwisho akaanza kula kwa mikono, wanafunzi wenyeji wakawa wanatucheka na kutukejeli sana wakituita nyani. Wenzake tulitahayari sana kwa sababu ya Msukuma mmoja lakini bahati nzuri alikuwa msomi akajifunza haraka kula chakula cha wenyeji kama mwenyeji mpaka akabaki huko hadi leo kama yuko hai. Tatizo letu ni elimu hata viongozi wetu imewapiga chenga.Umenikubusha mbali tulipokuwa tunachanganyika skuli kuna kabila lilikuwa linapanda juu ya vyoo vya kukaa tulikuwa tunapata tabu sana mpaka walipo elewa matumizi ya vyoo hivyo hivyo kwenye hili tutaelewana baada ya hasara
Punguza ujinga kichwani, wewe umeona tunachojadili ni uwanja wa ndege?Kwani uwanja wa ndege siyo eneo la umma na masikini? mpuuzi wewe acha kulea ujinga
Mpuuzi wewe utakaa muda mrefu sn kwa shemeji yakoPunguza ujinga kichwani, wewe umeona tunachojadili ni uwanja wa ndege?
Kama ndio hivi nitaendelea kupanda mabasi yanayoshukia ShekilangoKweli wanapiga vibanda vya mama ntilie, pale parking, wauze mitumba na 'kalcha' mbele na nyuma ya maviete.ππ
Stendi yenyewe finyu sana kwa nafasi parking ya mabasi, pale asubuhi sijui inakuwaje?? Nafikiri wenye ofisi zao Shekilango na Ubungo kama Allys, BM, Kilimanjaro, ABC wataendelea kupakia abiria huko, kuepusha aibu ya basi kutokutosha hapo.
Everyday is Saturday............................... π
Unajifanya mtetezi wa dikteta ili uteuliwe, hovyo kabisaPunguza ujinga kichwani, wewe umeona tunachojadili ni uwanja wa ndege?
unaenda nikupeleke
Mkuu, Nilishajiajili namshukuru Mungu nimefikia pahala pa Mimi kujilipa si Chini ya 80k, kila uchwao, na Miradi inazidi kuchanuaUnajifanya mtetezi wa dikteta ili uteuliwe, hovyo kabisa
Hahaha!!Mpuuzi wewe utakaa muda mrefu sn kwa shemeji yako
Labda miradi ya kinyesi, kama neno lenyewe kujiajiri limekushinda kuandika sembuse kujilipa 80kMkuu, Nilishajiajili namshukuru Mungu nimefikia pahala pa Mimi kujilipa si Chini ya 80k, kila uchwao, na Miradi inazidi kuchanua