Muonekano wa hii dizaini ya hiki kiramani cha nyumba ni zaidi ya hatari

Muonekano wa hii dizaini ya hiki kiramani cha nyumba ni zaidi ya hatari

Imekaa vizur, ila inaonyesha ujenzi wake ni wa gharama sana kwa watu wa maisha ya kati, maana ilo bati ni hatari.
 
Kuna wale jamaa wanapanga ramani kwenye meza hapa jijin dsm..wanapatikana mitaa gani?.

#MaendeleoHayanaChama
 
Best,

Hasa kwa sisi tusiopenda nyumba zenye paa juu kama mwonekano wa darasa.
 
Back
Top Bottom