andrewmhagama
Member
- Aug 12, 2017
- 9
- 5
Kalikuwa kadogo halafu kembamba, kalivuma na wimbo wake wa Can we tark
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila jamaa nasikia chapombe Sana na sigara kwa sana.Dah hatimaye ana mvi,alisumbua sana kwenye zama zake za ujana.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]duh jaman mbn aikua mzuri sana ujanani?? au madawambn sura km imechange sana !hhaah uhenga !
can we talk for a minute gal i want to knw ya nameee! sijui na kina Sisco wako wpi jaman ! dah
ila jamaa nasikia chapombe Sana na sigara kwa sana.
kuna interview yake moja ipo YouTube aliifanya alipo tembelea south Africa,ukimtazama kwa haraka haraka anaonekana ni kama mtu mwenye stress sana na anajutia sana umaarufu wake wa utotoni.
hataki kabisa kuzungumzia ile celebrity lifestyle ya utotoni mwake.ni kama vile alitumiwa zaidi kutajirisha watu fulani.
Forodhani ya Mwl.Mbuya ama?
classmate wangu mmoja alikuwa amemeza baadhi ya verse ya nyimbo za Boyz2Men.Enzi za utozi lzm uandike nyimbo za kina Tevin kwenye daftari na kuwa na autograph.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata yeye anakupenda![emoji53][emoji53][emoji53]Bado anavutia, nilikuwa nampendaga
Mwambie anitafuteHata yeye anakupenda![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Du kafanana na Muhogo Mchungu kipindi kile alikuwa HB kweli....Can we talk ngoma tamu.
Sent using Jamii Forums mobile app