Muonekano wa kihenga wa Tevin Campbell

Dah hatimaye ana mvi,alisumbua sana kwenye zama zake za ujana.
ila jamaa nasikia chapombe Sana na sigara kwa sana.

kuna interview yake moja ipo YouTube aliifanya alipo tembelea south Africa,ukimtazama kwa haraka haraka anaonekana ni kama mtu mwenye stress sana na anajutia sana umaarufu wake wa utotoni.

hataki kabisa kuzungumzia ile celebrity lifestyle ya utotoni mwake.ni kama vile alitumiwa zaidi kutajirisha watu fulani.
 
duh jaman mbn aikua mzuri sana ujanani?? au madawambn sura km imechange sana !hhaah uhenga !


can we talk for a minute gal i want to knw ya nameee! sijui na kina Sisco wako wpi jaman ! dah
 
duh jaman mbn aikua mzuri sana ujanani?? au madawambn sura km imechange sana !hhaah uhenga !


can we talk for a minute gal i want to knw ya nameee! sijui na kina Sisco wako wpi jaman ! dah
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Tevin amekuw na tabia chafu za ovyo.
Ni ameathirika na mapenz ya jinsia moja.Amefumuliwa marinda yote.
 
Enzi za utozi lzm uandike nyimbo za kina Tevin kwenye daftari na kuwa na autograph.

Sent using Jamii Forums mobile app
classmate wangu mmoja alikuwa amemeza baadhi ya verse ya nyimbo za Boyz2Men.

uimbaji wake ulikuwa unashabihiana kwa kila kitu na uimbaji wa lead singer wa boys2men,Wanya Morris.[emoji3] [emoji3]
 
naupenda sana can we talk,,,sana sana japo sikuwa enzi hizo ila odl za 80 na 90 ni mawe sana,,,mimi wa 80z but ndo mipini yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…