We nawe ni muhenga umeishikaje hii mistariduh jaman mbn aikua mzuri sana ujanani?? au madawambn sura km imechange sana !hhaah uhenga !
can we talk for a minute gal i want to knw ya nameee! sijui na kina Sisco wako wpi jaman ! dah
Umezaliwa mwaka gani?!Mbona mimi simjui huyu mwanamziki
duh jaman mbn aikua mzuri sana ujanani?? au madawambn sura km imechange sana !hhaah uhenga !
can we talk for a minute gal i want to knw ya nameee! sijui na kina Sisco wako wpi jaman ! dah
We nawe ni muhenga umeishikaje hii mistari
SONY Xperia Z5 Premium
alivumaga sana na kashfa ya kuliwa kiboga...Kunawakati kilifumwa kinaliwa denda na asikari polisi wakiume.. duh!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio namsikia leo
Yaaani ilikuwa shida sana kwa kweli nikiwaangalia walivyokuwa Maajuza kwasasa nawaza kwa sauti tu.Duh kweli nakumbuka nilikuwa na National Panasonic system niliyo nunuliwa zawadi ya kufaulu...nilikuwa nakwenda nayo kwa demu......nyimbo nyingine kipindi hicho ilikuwa ni End of The Road ya Boys II Men....dah..zamani kung'oa demu lazima ujipange sana....
Niliwahi kusikia kuwa anajihusisha na kubwia madawa!
Mwambie anitafute