Muonekano wa kihenga wa Tevin Campbell

Tevin campbell dah mnanikumbusha mbali aisee halafu babyface aliwasaidia wasanii wengi mfano alimsaidia dogo mwingine anaitwa jon b na wimbo mmoja uitwao someone to love...vp huu wimbo mnaujua?
 
Tevin campbell dah mnanikumbusha mbali aisee halafu babyface aliwasaidia wasanii wengi mfano alimsaidia dogo mwingine anaitwa jon b na wimbo mmoja uitwao someone to love...vp huu wimbo mnaujua?
unauliza kuhusu jon b mbele ya wahenga kama sisi kaka?.
binafsi nazikumbuka sana kazi jon b ikiwemo hiyo ya "someone to love".bonge moja ya ngoma katika mahadhi ya RnB(rhythm and blues) chini ya fundi babyface akisimama kama producer.
hii hapa[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Namkubali huyu mhenga sana...sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…