Muonekano wa Mabasi mapya ya Mwendokasi yaliyotengenezwa na kampuni ya Scania

Wananchi wa Dar kwani Mkoa wa kula,vyuma vipya piruuu vya Mwendokasi mda wowote citashushwa tayari kuanza kutumika.👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DAFqg0-tiPl/?igsh=MW51YmdnMWx3ZW1qag==

My Take
Rais Samia Huwa anawajibu Wapinga Maendeleo Kwa Kazi Zinazoonekana.

Kuna upuuzi wa kijinga eti "yamebuniwa kwa ajili ya Tanzania'' haya ya sasa yanayoitwa Golden Dragon walisena hivyo hivyo. Yaangalie yalivyo korongeka sasa hayana spea ( engine, gearbox, transmission,Toka nchi mbalimbali na kuunganishwa na makanjanja wa Kichina) halafu ni mkopo wenye riba kubwa na waendeshaji wanejaa wezi.
Upumbavu mtupu 😡
 
Wapinga maendeleo mtaendelea kuumbuka na kuaibika
 
Back
Top Bottom