Muonekano wa Mabasi mapya ya Mwendokasi yaliyotengenezwa na kampuni ya Scania

Muonekano wa Mabasi mapya ya Mwendokasi yaliyotengenezwa na kampuni ya Scania

Kuna step umeiruka. Wapo kwenye mchakato na baadae wataufanyia upembuzi wa awali na matokeo yakiwa mazuri wataingia kwenye upembuzi yakinifu kabla ya kuingia kwenye procurement processes ambazo huchukua muda. Endeleeni kuwa watulivu.
Asante mkuu kwa kuweka sawaa 😊 Kuna kipindi Fulani magufuli R.I.P alikuaga mkali akiambiwa hayo MANENO 😅
 
Wananchi wa Dar kaeni Mkao wa kula,vyuma vipya piruuu vya Mwendokasi mda wowote citashushwa tayari kuanza kutumika.👇👇

My Take: Rais Samia Huwa anawajibu Wapinga Maendeleo Kwa Kazi Zinazoonekana.

======

Scania Tanzania wameandika hivi kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii:

Habari wadau!

Huu ndio muonekano mpya wa basi la BRT kutoka Scania na Marcopolo! Hivi karibuni litaongezwa kwenye kikosi cha DART. Safari yako ya kila siku sasa inapata sura mpya, basi hili siyo tu la kuvutia, bali ni la kisasa kabisa!

Tazama video hii uone muundo wa nje wa basi hili, linaloleta mabadiliko kwenye usafiri wa umma Dar es Salaam. Endelea kufuatilia kwa maelezo zaidi! 🚍


View attachment 3100334
Sifa huwa nyingi Mwanzoni..
 
Kama ulikuwa bado hujafahamu hizi ndio basi mpya za PPP ya Kafulila

Unaambiwa Africa nzima hakuna,

VIVA SAMIA VIVA,
VIVA KAFULILA VIVA

IMG-20240920-WA0050.jpg

 
Back
Top Bottom