Muonekano wa Mabasi mapya ya Mwendokasi yaliyotengenezwa na kampuni ya Scania

Kuna upuuzi wa kijinga eti "yamebuniwa kwa ajili ya Tanzania'' haya ya sasa yanayoitwa Golden Dragon walisena hivyo hivyo. Yaangalie yalivyo korongeka sasa hayana spea ( engine, gearbox, transmission,Toka nchi mbalimbali na kuunganishwa na makanjanja wa Kichina) halafu ni mkopo wenye riba kubwa na waendeshaji wanejaa wezi.
Upumbavu mtupu 😑
 
Wapinga maendeleo mtaendelea kuumbuka na kuaibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…