Muonekano wa Mabasi mapya ya Mwendokasi yaliyotengenezwa na kampuni ya Scania

Kuna step umeiruka. Wapo kwenye mchakato na baadae wataufanyia upembuzi wa awali na matokeo yakiwa mazuri wataingia kwenye upembuzi yakinifu kabla ya kuingia kwenye procurement processes ambazo huchukua muda. Endeleeni kuwa watulivu.
Asante mkuu kwa kuweka sawaa 😊 Kuna kipindi Fulani magufuli R.I.P alikuaga mkali akiambiwa hayo MANENO πŸ˜…
 
Sifa huwa nyingi Mwanzoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…