CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Sep 20, 2024 #61 Scania unyama sana
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Sep 20, 2024 #62 Haya ndiyo mambo tunayotaka ,wakifanya mazuri tunasifia ,big up sana kafulila ,PPP ndiyo mpango mzima ,serikali ikusanye kodi tu wala isifanye biashara.
Haya ndiyo mambo tunayotaka ,wakifanya mazuri tunasifia ,big up sana kafulila ,PPP ndiyo mpango mzima ,serikali ikusanye kodi tu wala isifanye biashara.
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Sep 20, 2024 #63 Msingida said: Mwenye mabasi yake atayatunza,tutarajie yatafanya kazi kwa ufanisi Click to expand... Abiria huwa ndio wanajaa mpaka milango haifungi wengine wanang'oa viti wabongo ustaarabu zero!
Msingida said: Mwenye mabasi yake atayatunza,tutarajie yatafanya kazi kwa ufanisi Click to expand... Abiria huwa ndio wanajaa mpaka milango haifungi wengine wanang'oa viti wabongo ustaarabu zero!
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Sep 20, 2024 #64 Abrams said: Sahihi kabisa ila SCANIA itakuwa poa sana Click to expand... Hao abiria wa kimara na gongo la mboto wanang'oa viti!
Abrams said: Sahihi kabisa ila SCANIA itakuwa poa sana Click to expand... Hao abiria wa kimara na gongo la mboto wanang'oa viti!
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,296 Reaction score 6,692 Sep 20, 2024 #65 Hii mbona kama second hand? wenye uelewa na magari tupeni elimu