Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Mwanadada asiyeishiwa vituko Wema Sepetu (Tz sweetheart) baada ya kuamua kupunguza umbo lake huu ni muonekano wake mpya. Baadhi ya mashabiki zake wengine walimsifia kwa uamuzi aliochukua na wengine wakiendelea kumkejeli ya Kuwa Nyumbu sasa amegeuka Twiga.
Binafsi nakupa Hongera Wema hakika umependeza na muonekano wako mpya.
Binafsi nakupa Hongera Wema hakika umependeza na muonekano wako mpya.