Muonekano wa Msanii Wema Sepetu

Muonekano wa Msanii Wema Sepetu

Jamani mbona mnalinajisi jamvi la adhimu la' those who dare to talk openly' kwa kutuletea vitu ambavyo havina mantiki wala maana yoyote ile???
Hebu virudisheni huko kwenye facebook/insta na mtuachie jamvi letu likiwa kama linavyostahili kuwa.
Hebu soma tena ulichoandika, halafu ume quote maneno usiyojua maana yake.
 
hiyo milonjo sasa.!!

sijui kaiichubua?
Au kai-bleach?
ama ni ya photocopy.!
au nayo aliwekewa ya kichina!?

labda nahitaji miwani..!?
Tena macho yako mazima haswaa! Unajua kujipunguza unene kwa kutumia ''nguvu za kutengeneza'' badala la nguvu za asili siku zote hakuna matokeo mazuri. Asipoangalia ataishia pabaya.
 
Back
Top Bottom