Muonekano wa Msanii Wema Sepetu

Muonekano wa Msanii Wema Sepetu

Yupo vzr tatizo kajichubua sn hd anatia kinyaa..mwanamke akishajichubua mi ht kugusana nae huwa naona kichefuchefu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wema alijichubua Sana zamani hapo mbona kapunguza

WEMA-. 1 .jpg
 
Nimemuona wiki mbili zilizopita. Hayupo kama kwenye picha. Amepungua juu lakini tako lake lipo vile vile. Naona anatumia app ya ku slim. Hayupo hivyo live kama anavyo onekana kwa picha. Hajapungua kiasi cha kutisha
 
Duuh! Mwisho wa siku naona umbo alilokuwa nalo kabla ya kujivuruga vuruga na madawa ndio lilikuwa bora zaidi.
 
Nimemuona wiki mbili zilizopita. Hayupo kama kwenye picha. Amepungua juu lakini tako lake lipo vile vile. Naona anatumia app ya ku slim. Hayupo hivyo live kama anavyo onekana kwa picha. Hajapungua kiasi cha kutisha
analifanyia kaz gani hilo tako
 
Nimemuona wiki mbili zilizopita. Hayupo kama kwenye picha. Amepungua juu lakini tako lake lipo vile vile. Naona anatumia app ya ku slim. Hayupo hivyo live kama anavyo onekana kwa picha. Hajapungua kiasi cha kutisha
Eeh kumbe picha tu eeh.. Too sad mbona hiyo ni kujidanganya mwenyewe saaa[emoji16][emoji16][emoji16]. Ajikubali tu maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ipo, mbona keshokwenda na maji, heri ya Jokate wetu...
 
Back
Top Bottom