Mbona unajibu iyo robot us sisiem terminal ya 80s ndio analingisha na Yao ya 2018,....hii ina onyesha vile akili za kijamaa ni pumbavu[emoji1787][emoji1787]You pick what you want and make your biased judgment off it. Typical you.
Kipindi hicho tulikua na mambo muhimu kuyafanya kabla ya kukimbilia kujenga majengo.It's not like you are unstoppable. These are the things you should have done in the 70s through to 80s,Sijui mbona mliingia usingizini. Stop having phobias for Development
Hakuna aliyewakataza kujenga terminal mpya, mlianza kujenga Green terminal, pumzi zikawaishia njiani mkashindwa kama ilivyotokea katika SGR. Maendeleo ni kwenda na wakati, sio mnabaki na old model na unajitetea. JNIA3 hoyeee.Hii ndio akili zembe za sisiem hamuezi ona beyond Kenya,mnatuota usiku mchana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]terminal mzee ya jkia ya 80s ndio unalinganisha na terminal yenu mpya ya 2019[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kila kitu SI unit ni Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa ni mkazi wa Buza na mwisho wako kusafiri kwa umbali ni mwenge.. ukipayuka kwa nguvu zote hakuna Shopping Mall kubwa Africa kama Mlimani City Shopping Mall... itabidi watu wasikushangae sana maana kilele cha dunia yako ndicho hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Boss, mbona muenekano wake ni wa kawaida sana?
Wewe wako umeishia Buza sio?Ukiwa ni mkazi wa Buza na mwisho wako kusafiri kwa umbali ni mwenge.. ukipayuka kwa nguvu zote hakuna Shopping Mall kubwa Africa kama Mlimani City Shopping Mall... itabidi watu wasikushangae sana maana kilele cha dunia yako ndicho hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoa mada upeo wake wa kuona kwa Sasa umekomea hapo.
Kipindi hicho tulikua na mambo muhimu kuyafanya kabla ya kukimbilia kujenga majengo.
1) Kujenga Umoja wa kitaifa, kufuta ukabila, kuondoa tabaka za watu na kujenga amani ya kudumu.
2) Kuzikomboa nchi za Afrika, ili majirani zetu wote wawe huru na wawe na amani, kwasababu tuliamini kwamba, bila jirani yako kuwa huru na awe na amani, hakutokua na maendeleo endelevu.
Mbona ninyi ambao hamkuwa na lolote la kufanya katika kipindi hicho, hamkujenga uwanja kama huu?, matokeo yake tumetoka nyuma tumewapita.https://youtu.be/osD37hcFCWg
Yes, building of our Nation was important than toothpaste, those who chose toothpaste over National unity, now they are counting the cost.Are you a serious human being or you are a cow? When Toothpaste. toothpaste was missing in the whole of Danganyika.
Wewe wako umeishia Buza sio?
Mimi sipendi airport terminals zikiwa na vyuma vinaonekana yanii kwa kiingereza " roof truss" hiyo inakaa ni kama warehouse.Kuanzia JKIA terminal 3 ,Bole Int'l airport Ethiopia terminal 2 na sasa JNIA Tanzania pia inakaa hivyo. Those other sections are okay.
Nimelinganisha na nchi za EAC, kataa kama hiki sio the best katika EAC.Kuna msemo kwenye African Proverbs usemao.. 'The wise Man is the one who fills his ears before he open his mouth'
Terminal 3 ni mpya haijaanza kutumia ni kubwa kwa standard zetu na expectation za planners... Ila kwa sifa ulizotoa na ukilinganisha na vya nchi nyingine Africa... bado
Fanya research pale ambapo unalinganisha vitu.. au kama lengo ni kusifia basi sifu bila comparison maana kuna waliona zaidi yako wewe.
Yes, building of our Nation was important than toothpaste, those who chose toothpaste over National unity, now they are counting the cost.
Ahaaa haaa haaa
Hata ukienda Dubai na Dulles international airport hizo trusses zipo wazi hivyo hivyo.
Nimelinganisha na nchi za EAC, kataa kama hiki sio the best katika EAC.
Na bado, sasa hivi ni kipindi cha kuzindua miradi baada ya kuweka mawe ya msingi, mlikua mnasema hakuna kinachokamilika, sasa umefika muda wa kuwanyamazisha.Tihahahhaaaaa. Today I have seen a cow give birth to a dog
StupidAs I said before..... 'The Wise Man is the one who fills his ears before he opens his mouth'
Try to use ua head to think instead of being driven by your emotions.
Na bado, sasa hivi ni kipindi cha kuzindua miradi baada ya kuweka mawe ya msingi, mlikua mnasema hakuna kinachokamilika, sasa umefika muda wa kuwanyamazisha.
November" The first bullet train in Africa" inazinduliwa, karibu sana. If you can't fight them, join them. Hapa kazi Tu.
Stupid
Again, you are not only stupid, but also very fool. Which critism?. Mimi nimekuambia nimelinganisha na viwanja ndani ya EAC, na nikakuambia kataa kama huu sio uwanja bora ndani ya EAC, badala ya kujibu kama ni kweli au sio kweli, unaleta ujinga wako, kama huna hoja bora ukae kimya, usionyeshe upumbavu wako hadharani.Thanks.... it is typical habbit for fools whenever they face criticism or obstacles in their silly things to seek refuge in insults.....
So based on how you wrote your post and the way you respond to people who oppose you... it seems that thing run through your veins.
Again, you are not only stupid, but also very fool. Which critism?. Mimi nimekuambia nimelinganisha na viwanja ndani ya EAC, na nikakuambia kataa kama huu sio uwanja bora ndani ya EAC, badala ya kujibu kama ni kweli au sio kweli, unaleta ujinga wako, kama huna hoja bora ukae kimya, usionyeshe upumbavu wako hadharani.
Pumbavu Sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
It seems you didn't even understood what I wrote .... when I told you that thing run through your veins ulifikiri ni nini?.... it is that foolishness
Kwakuwa it seems it is inherited thing ngoja tu nikuache hivyoo. [emoji114][emoji114]