Kipindi hicho tulikua na mambo muhimu kuyafanya kabla ya kukimbilia kujenga majengo.
1) Kujenga Umoja wa kitaifa, kufuta ukabila, kuondoa tabaka za watu na kujenga amani ya kudumu.
2) Kuzikomboa nchi za Afrika, ili majirani zetu wote wawe huru na wawe na amani, kwasababu tuliamini kwamba, bila jirani yako kuwa huru na awe na amani, hakutokua na maendeleo endelevu.
Mbona ninyi ambao hamkuwa na lolote la kufanya katika kipindi hicho, hamkujenga uwanja kama huu?, matokeo yake tumetoka nyuma tumewapita.https://youtu.be/osD37hcFCWg