Muonekano wa stendi mpya ya mabasi itakayojengwa Mbezi Luis - Dar

Muonekano wa stendi mpya ya mabasi itakayojengwa Mbezi Luis - Dar

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
IMG_20181215_152101.jpg

Maradi huo unatarajiwa kugharimu kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 50.9 mpaka kukamilika kwake

Hata hivyo Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jaffo ametaka apewe taarifa kuhusu mpango wa ujenzi ndani ya siku 7

Endapo Halmashauri ya Ubungo itashindwa kufanya hivyo fedha hizo zitapelelwa Halmashauri nyingine

IMG_20181215_152628.jpg
 
Kitachukua mabasi mangapi kwa wakati mmoja?

Nashauri kuwekwe utaratibu wa kuingia kama pale airport ili kuondokana na kero za wapiga debe
 
Yanapoegesha mabasi hapapo practical. Mabasi kila saa yapige reverse.

Halafu mabanda tu nyuma huko na mbele aluminum or whatever ili kupendezesha tu gate hilo lakini siioni stand ya maana hapo.

Total impractical. Ndogo.


Hatuna wabunifu Tanzania.
 
Sasa frame mbezi ndo itazidi kariakoo maana saizi tu mpaka laki 8 afu frame ya kawaida.. na barabara ya goba itabidi ipanuliwe maana ndo mwanzo wa jam...halafu sisi wa makabe na msumi watupigie lami maana ndio itageuka sinza
 
Back
Top Bottom