Muonekano wa stendi mpya ya mabasi itakayojengwa Mbezi Luis - Dar

Muonekano wa stendi mpya ya mabasi itakayojengwa Mbezi Luis - Dar

Jafo aseme tu hela hamna na sio kutishia ati watahamishia mradi kwenye halmashauri nyingine, iiiipi?
 
Hahaha itabaki kwenye picha hivyo hivyo. Msitarajie kuiona live.
 
Toweni upuuzi huu hapa.. hii sio stand ya kujengwa dar.. hapo mbezi kunatakiwa apatikane consultant wa ukweli atakaye design vitu vyote kwa pamoja. Utashangaa kwa ujenzi huu mataa yatajazaa hapo hadi kero.

Nawahurumia traffic maana kila siku watatakiwa kuwa hapo mbezi saa 11 kiongoza magari.
 
Yanapoegesha mabasi hapapo practical. Mabasi kila saa yapige reverse.

Halafu mabanda tu nyuma huko na mbele aluminum or whatever ili kupendezesha tu gate hilo lakini siioni stand ya maana hapo.

Total impractical. Ndogo.


Hatuna wabunifu Tanzania.
Kwa mara ya kwanza Faiza unapinga idea ya serikali
 
Watakosea kuruhusu machinga waingie na maji yao
 
Back
Top Bottom