Muonekano wa sura ya mke wa CEO wa kampuni ya Dell yazua gumzo Marekani

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Your browser is not able to display this video.

CEO wa kampuni ya Dell Michael Dell pamoja na mke wake Susan Dell walikuwa White House tarehe 7 October na Rais Donald Trump wakijadili masuala ya teknolojia
Susan Dell, ambaye ni mke wa CEO wa Dell alihimiza Wamarekani kufungulia watoto wao Child Trump accounts kwa ajili ya kufanya savings kwa watoto wao ambazo zitawasaidia mbeleni
Your browser is not able to display this video.

Sasa muonekano wake ni wa tofauti kidogo na umeonekana kuwashtua Wamarekani wengi mitandaoni watu wakimuita "Lizard human" wengine wakisema ni Robot, wengine wanamsema kuwa ni alien na wengine wanasema anatisha
Tangu video yao ya Whitehouse October 7th kumekuwa na constant bullying mitandaoni juu ya muonekano wake
Wamarekani wengi wameandaa video wakimock appearance yake. Kama hizi video ni za wamarekani wakimock mwonekano wa Bi Susan Dell
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.


Kikawaida kwenye mitandao ya kijamii Marekani ukimock appearance ya mtu watu wanakuwa wakali sana comment section. Lakini hii ni tofauti kidogo, watu wengi wanaonekana kusupport na kucheka mitandaoni. Kumbuka Susan na mume wake ni Trump supporters, na Marekani kuna very strong tension kati ya watu wanamsupport Trump na wasiomsupport Trump
Na kwa sababu kuna Wamarekani wengi wako against Trump kwa hiyo hawana sympathy kwa supporters wa Trump kama Susan na mume wake
 
ok.🐒
 
Kwa hali hii niendelee kumficha mpenzi wangu
 
Kuna yule mama niliona kafanya surgery ngapi huko sijui anatafuta kuwa na sura ya mnyama
 
Mwenye Kupenda Haoni Chongo Atasema Kengeza

Hapo Hakuna Ajabu Yoyote
Nina Demu Ana Mtoto Mmoja
KKilograms 56 Yaani Kama Huyo Dell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…