Muonekano wa Wema Sepetu wazua gumzo mitandaoni, Mashabiki wamuandama na kumwambia maneno haya

Muonekano wa Wema Sepetu wazua gumzo mitandaoni, Mashabiki wamuandama na kumwambia maneno haya

Hivi hii ni surgery au turudi kwenye channel ya kina Lilian, Kimobitel, Aisha Madinda na wengine. Kuna kamsururu kalinyooshwa na members fulani kakawa kanatia hatiani watu kadhaa. Mimi sifurahii matatizo ya watu, God forbid.
 
Huyu kumbe bado yupo? toke alipopoteza TAKO mmi nilishamalizana nae. Nilishamu Unfollow zamani tu huko insta
 
Huyu kumbe bado yupo? toke alipopoteza TAKO mmi nilishamalizana nae. Nilishamu Unfollow zamani tu huko insta
Mkuu wewe ni mojawapo ya watu muhimu kwenye connection za mastaa. Tia neno hapa usijali tako.
 
ukimwi unamtafuna si wembamba uo
 

Attachments

  • maxresdefault.jpg
    maxresdefault.jpg
    184.7 KB · Views: 3
May be Yuko undernourished naona yuko moderately wasted and zygomatic prominence.
1.Nawashauri ndugu zake au yeye mwenyewe.
Encourage kula kwa kiasi chakula bora chenye virutubisho vyote
2.Aende akapime au kuscreen HIV/AIDS, Syphilis,hepatitis and TB
3.Apunguze au kuacha Milo ya diets za kupunguza uzito.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii wa filamu na Miss Tanzania mwaka 2006 Wema Sepetu, amezua gumzo mitandaoni baada ya kupost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonyesha mwili wake kuonekana kuzidi kupungua, Wema Sepetu ambae aliamua kupunguza mwili wake kwa madai ya kuwa unamnyima raha hasa katika kazi zake za kisanaa.View attachment 1361737
Screen-Shot-2020-02-18-at-13.58.19.png


Ikumbukwe kuwa katika mahojiano aliyoyafanya kupita App yake ya Wemapp alisema, ameamua kupunguza mwili wake kwa sababu ulikua unamletea shida sana hasa kwa upande wa filamu kuna mavazi alikua hawezi kuyavaa na kuna baadhi ya Scenes zilikuwa zinampa shida kuigiza kulingana na mwili aliokuwa nao kipindi cha mwanzo

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wema aliamua kupost picha akiwa na wadada wengine wawili akiambatanisha na ujumbe kuwa “Alhamdulillah Rest Easy kaka” picha hii ilimuonyesha akiwa ametoka kwenye msiba wa kaka ake anaeitwa Mkusa Sepetu, ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama kuu Zanzibar ambaye alipoteza maisha asubuhi ya Feb 16, 2020.

View attachment 1361742

Wema baada ya kupost picha hiyo mashabiki wake wakaanza kumuandama kwa maneno mengi huku wakimwambia ameathirika, wengine wakamuambia ajitahidi kula maana wakikutana nae barabarani wanaweza kumsahau kabisa kutokana na mwili wake unavyozidi kuisha. Baada ya comment za mashabiki kuzidi Wema hakukaa kimya aliamua kuwajibu na kuwaambia kuwa Ni kweli ameathirika na kama watamsahau basi yeye ndivyo anavyotaka.

tafuta pesa we kijana,wembamba wa Wema utakisaidia nini katika maisha yako?
 
May be Yuko undernourished naona yuko moderately wasted and zygomatic prominence.
1.Nawashauri ndugu zake au yeye mwenyewe.
Encourage kula kwa kiasi chakula bora chenye virutubisho vyote
2.Aende akapime au kuscreen HIV/AIDS, Syphilis,hepatitis and TB
3.Apunguze au kuacha Milo ya diets za kupunguza uzito.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwi zama hizi za ARV MTU hakondi hivyo, akikonda kwa sababu ya HIV ni lazima angekuwa ameugua sana tu.. TB utakohoa mpk mwenyewe unyooshe mikono..

Ila si alisema kakata kipande kidogo cha utumbo, hivyo bila shaka mfumo wa digestion umearibika nutrition hazifyonzwi sawasawa kuupata mwili nishati hivyo kunakuwa hana protein buildup muscles zinadegenarate kila kukicha.

I can predict kama hakutakuwa na cha kumsaidia katika hill, ndani ya miaka hii miwili historia itakuwa tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom