Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama social reject Fulani....angekaa mbali na media sijui Instagram ..watu wanajua ku bully huku mtandaoni balaa...hivi alifanya Gastric bypass au ni ile nyingine??
Kutoka kwenye uchibonge...all the way to kimodel...a.ka. Chembambaaa
Kweli kabisa yupo wapi Masogange....Kuna tofauti ya mtu kuwa maarufu na mtu kuyafanya maumbile yake kuwa maarufu. Umaarufu wa maumbile ni umaarufu kunuka.
Mfano wa mtu maarufu ni Bob Marley...katangulia mbele za haki miaka mingi sana imepita, lakini bado tunamkumbuka. Hawa maarufu wa mwili siku tukiacha kuona miili na maumbile yao basi nao wanasahaulika kwani hakutakuwa na video chapa connection za kuwaibua kaburini
Nlibahatika kukutana na wema 2005 wakati huo miss alikuwa kifaa hasa, km zlikuwa hazijaenda sana.......Wema alikuwa anatumia mikorogo , anatengenezewa pale magomeni Argentina , Saluni moja iko upande wa kushoto mwa barabara Kama unaenda mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Imefanania miwa ya Kilombero?Kuna picha amepost Leo...vile vimiguu jamani hadi nakosa cha kusema
KabisaImefanania miwa ya Kilombero?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dinia simama aiseeeImefanania miwa ya Kilombero?