Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 648
- 384
Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula.
Unachoangalia mara nyingi humo televisheni (tell a vision) unachosikiliza mara nyingi (muziki NK) afu unakirudia kichwani, kwa mfano kuimba ule wimbo ulozama kichwani - maneno ya muziki yanazama ubongoni na matendo ya sinema na televisheni nayo yanazama. Pia unachosoma vitabuni nk
*** chagua vzr, wachagulie watoto vzr ili akili isivurugwe na wahuni washetwan. Moja ya silaha kubwa mzungu anatumia kutuharibu akili hata mila zetu nzuri, na kutopotosha ni hayo - sinema/tamthilia nk, nyimbo na vitabu.
***Pia utajikuta unafagalia mafreemason bila kujitambua huku ukipaza sauti kusali nao ama kumtukuza shetwan... manyimbo tutayapenda tunapoyasikia ghafla, ila kazi kwetu ni kuelewa nini wanaimba na kina manufaa gani maishani mwako ukishaingiza kichwani ka vile ni mahubiri ya dini. Mimi ni mtu mzima na naburudishwa na uzuri wa kina Zuchu na nyimbo zao ngono/mahaba ILA binti akianza kuimba maneno hayo namuweka pembeni na kumfafanulia ubaya wa kuiga maneno ya tabia hizo. Hatuna njia nyingine ya kuzuia watoto wasisikie nyimbo hizo na wengine wetu tunaruhusu ama kuangalia sinema mbaya za utu uzima na watoto bila kuzuia ama kufafanua... dawa ya kuepusha akili zao zisipotoke ni kuweka mipaka ya wanachoangalia, wanachosoma, na wanachosikiliza - kudadisi na kufundisha mazuri pale tunaposhindwa kuzuia
- ukila haraka haraka bila kutafuna vizuri unaingiza mabonge tumboni, hivyo tumbo na mwili vyatumia nguvu kubwa kusaga, na labda kushindwa kusaga mabonge yote ivo hupati vitamini na faida ya huo msosi - yaani mwili kunyonya virutubisho (absorption). Pia yaezekana unatanua tumbo.
- ukila kitimoto kwa wingi utanenepeana ka nguruwe. Pia ukila vingine vyenye mafuta mengi au vya kukaangwa mafutani.
Unachoangalia mara nyingi humo televisheni (tell a vision) unachosikiliza mara nyingi (muziki NK) afu unakirudia kichwani, kwa mfano kuimba ule wimbo ulozama kichwani - maneno ya muziki yanazama ubongoni na matendo ya sinema na televisheni nayo yanazama. Pia unachosoma vitabuni nk
*** chagua vzr, wachagulie watoto vzr ili akili isivurugwe na wahuni washetwan. Moja ya silaha kubwa mzungu anatumia kutuharibu akili hata mila zetu nzuri, na kutopotosha ni hayo - sinema/tamthilia nk, nyimbo na vitabu.
- Unafuatilia series kama dini, inakuingia akilini… Je inakufundisha nn kizuri maishani mwako? Chaguo ni lako wewe na Kwa wanao
- Unaimba wimbo wa msanii flani kila siku, wanao pia… je unakufundisha nn bora maishani mwenu? Chaguo ni lako