Muonekano wako ni kama unavokula... Pia akili yako ni kama unavoilisha

huyo huyo kasuku akiangalia sinema mbovu ama akisikiza maneno ya matusi ... anayarudia kuyatamka - kafundishwa na hilo
Kumbe unakubali kuwa kasuku hana akili ya utambuzi bali anaiga tu sauti?

Sasa swali langu kwako, wewe ni binadamu mwenye utambuzi na akili timamu au wewe ni KASUKU?
 
Mzee, wewe mwenyewe umekiri hapo mwishoni kuwa kuna kuangalia sinema ukijua ni sinema sasa mbona unajipinga mwenyewe?

Mimi huwa naangalia nikiwa najua kabisa ni uongo wa Hollywood na stori za kutungwa simezi kitu! Kama wewe huwa unaangalia hadi tabia zako zinabadilika, hiyo ni shida yako binafsi.
Mkuu, ukicheki mada yangu... hata nimesema napenda miziki, sinema pia ... pointi yangu ni kuangalia ama kusikiliza kwa ufahamu, kuchuja ama hata kubwaga vilivozidisha...
ukiwa addicted na unamezesha ubongo kama vile ni ukweli, basi akili yako itameza na kuingiza hayo maoni ama matendo maishani mwako even subconsciously
 
Dunia ya sasa huwezi kumzuia mtu asikutane na changamoto za kimaadili. Kikubwa ni kuwa na akili imara ya kupambana na mazingira yoyote.
 
Nimekuuliza wewe, sijataka uzungumzie wengine, maana sijadili na hao wengine hapa.
kama una upinzani wa niliyoyatamka ndani ya OG uzi... basi leta hio pingamizi, je waamini usipokuwa makini utadhurika ama ala????????????
 
Kila kitu duniani usipokuwa makini kinakudhuru hata kunywa maji mengi kupitiliza kunadhuru! Hoja hapa ilikuwa ni ule uoga wako uliopitiliza uliotaka kutuaminisha kuwa binadamu hana akili ya kujiongoza.
 
Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula.
  • ukila haraka haraka bila kutafuna vizuri unaingiza mabonge tumboni, hivyo tumbo na mwili vyatumia nguvu kubwa kusaga, na labda kushindwa kusaga mabonge yote ivo hupati vitamini na faida ya huo msosi - yaani mwili kunyonya virutubisho (absorption). Pia yaezekana unatanua tumbo.
  • ukila kitimoto kwa wingi utanenepeana ka nguruwe. Pia ukila vingine vyenye mafuta mengi au vya kukaangwa mafutani.

Unachoangalia mara nyingi humo televisheni (tell a vision) unachosikiliza mara nyingi (muziki NK) afu unakirudia kichwani, kwa mfano kuimba ule wimbo ulozama kichwani - maneno ya muziki yanazama ubongoni na matendo ya sinema na televisheni nayo yanazama. Pia unachosoma vitabuni nk
*** chagua vzr, wachagulie watoto vzr ili akili isivurugwe na wahuni washetwan. Moja ya silaha kubwa mzungu anatumia kutuharibu akili hata mila zetu nzuri, na kutopotosha ni hayo - sinema/tamthilia nk, nyimbo na vitabu.

  • Unafuatilia series kama dini, inakuingia akilini… Je inakufundisha nn kizuri maishani mwako? Chaguo ni lako wewe na Kwa wanao
  • Unaimba wimbo wa msanii flani kila siku, wanao pia… je unakufundisha nn bora maishani mwenu? Chaguo ni lako
Mfano mzuri ni vijana weusi kizazi kipya marekani... watawala wa muziki, yaani maproducer na mapromoter waliingilia RAP (HIP HOP) makusudi kwa kushurtisha nyimbo zenye maneno mbaya na video matusi na kukataa nyimbo zenye mantiki ama ujumbe mzuri kama enzi za kina Tupac na Public Enemy. Madhara yake ni wazi mno sasa ivi... vijana wao akili yao eti kuwa bora ni ugangsta, kuuza madawa levya, na wasichana kuwa biatches. Walopona ni wale ambao wazazi walikataza ama walifafanua kwa kufundisha hiki si bora. Wazungu nao kwa vizazi vingi, wanaamini wanachokiona sinemani na ndani ya televisheni na sasa mitandao. Ndio maana, kwa mfano, wazungu miaka nenda rudi wanafikiri Afrika yetu haina miji ni pori na watu kutembea uchi ka vile waonyeshwavo na masinema, vitabu mashuleni, nk

***Pia utajikuta unafagalia mafreemason bila kujitambua huku ukipaza sauti kusali nao ama kumtukuza shetwan... manyimbo tutayapenda tunapoyasikia ghafla, ila kazi kwetu ni kuelewa nini wanaimba na kina manufaa gani maishani mwako ukishaingiza kichwani ka vile ni mahubiri ya dini. Mimi ni mtu mzima na naburudishwa na uzuri wa kina Zuchu na nyimbo zao ngono/mahaba ILA binti akianza kuimba maneno hayo namuweka pembeni na kumfafanulia ubaya wa kuiga maneno ya tabia hizo. Hatuna njia nyingine ya kuzuia watoto wasisikie nyimbo hizo na wengine wetu tunaruhusu ama kuangalia sinema mbaya za utu uzima na watoto bila kuzuia ama kufafanua... dawa ya kuepusha akili zao zisipotoke ni kuweka mipaka ya wanachoangalia, wanachosoma, na wanachosikiliza - kudadisi na kufundisha mazuri pale tunaposhindwa kuzuia

View attachment 3655348
Sii kweli akili inajengwa!Tena kwa namna zilizothibitishwa kisayansi.Japo sayansi zipoza kiwango vya kimataifa ama vya kiasili ila visivyochakachulowa kwa manufaa ya wapuuzi Fulani.
 
Kila kitu duniani usipokuwa makini kinakudhuru hata kunywa maji mengi kupitiliza kunadhuru! Hoja hapa ilikuwa ni ule uoga wako uliopitiliza uliotaka kutuaminisha kuwa binadamu hana akili ya kujiongoza.
Nimeona labda nikubandikie ile hoja yangu niliyoanza nayo ... labda hukuisoma, manake unarudiarudia yaleyale nilojadili kama maswali kwangu ... niaje?
=========================================================================

Sawa mkuu, na haijengwi mashuleni tu ... vitabu, nyimbo, masinema ... kila kitu ambacho our 5 senses zinahusika vinajenga akili - iwe kichanya ama kihasi
 
Hata wewe inaonekana hujazielewa hoja zangu, rudia kuzisoma vizuri.

Uzi wako nimeuelewa vizuri tu ndiyo maana kuna sehemu nimekupinga!
 
Back
Top Bottom