Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,880
Salama wakuu,
Naombeni muongozo wa namna ya kufanya biashara ya kuuza magari used, kwa upande wa mambo ya kuzingatia, taratibu za kufata, changamoto nk.
Nimeamua kuja na hiyo biashara, baada ya biashara zangu nyingi kufa kwa kukosa usimamizi wa karibu kwani mimi ni mtumishi wa umma, pia napenda sana magari.
Hivyo gari nitakuwa nainadi huku naitembelea, ikitoka nafata nyingine.
Aidha nawatahadharisha kuhusu kuanzisha biashara ambazo hauna nafasi ya kuzisimamia moja kwa moja,
Hilo ni janga kubwa na upotezaji wa pesa.
Karibuni kwa ushauri.