Muongozo biashara ya kuuza magari used

Muongozo biashara ya kuuza magari used

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Salama wakuu,
Naombeni muongozo wa namna ya kufanya biashara ya kuuza magari used, kwa upande wa mambo ya kuzingatia, taratibu za kufata, changamoto nk.

Nimeamua kuja na hiyo biashara, baada ya biashara zangu nyingi kufa kwa kukosa usimamizi wa karibu kwani mimi ni mtumishi wa umma, pia napenda sana magari.

Hivyo gari nitakuwa nainadi huku naitembelea, ikitoka nafata nyingine.

Aidha nawatahadharisha kuhusu kuanzisha biashara ambazo hauna nafasi ya kuzisimamia moja kwa moja,
Hilo ni janga kubwa na upotezaji wa pesa.

Karibuni kwa ushauri.
 
Salama wakuu,
Naomben muongozo wa namna ya kufanya biashar ya kuuza magari used, kwa upande wa mambo ya kuzingatia, taratibu za kufata, changamoto nk.

Nimeamua kuja na hiyo biashara, baada ya biashar zangu nyingi kufa kwa kukosa usimamizi wa karibu kwan mm ni mtumishi wa umma, pia napenda sana magari.

Hivyo gari ntakuwa nainadi huku naitembelea,
Ikitoka nafata nyingine.

Aidha nawatahadharisha khs kuanzisha biashara ambazo hauna nafas ya kuzisimamia moja kwa moja,
Hilo ni janga kubwa na upotezaji wa pesa.

Karibuni kwa ushauri.[emoji120]
Chukua gari za mnada ndio zinalipa
 
Kwanza Uko mkoa gani Dar au Mwanza? Maana wateja wengi wa magari ya mkononi hupendelea kununulia gari zao Mwanza au DSM
 
Sawa,
Ila nimetaget kuanza na gari ndogo za M4
Hivi, vipi changamoto zake?
Huna mtaji. Fanya mambo mengine utapata stress. Unless unataka kushinda garadge badala ya kufanya kazi. Pata angalau M8 kwa gari ndogo, utanunua gari zuri lisilo na matatizo na kulinadi kwa 9m au 9.5m inakuwa rahisi na hutapoteza muda. Gari ya 4m unaweza tumia m1 kutengeneza bila kujua halafu ukaliuza 4.5m
 
Nimekupata,
Ila kwa 9-9.5M sidhan kama watakuw wanafika,
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Nimekupata,
Ila kwa 9-9.5M sidhan kama watakuw wanafika,
Boss, ukiwa na gari zuri mfano una ist yako, nzuri haina shida yoyote kuna mtu atakuja tu tena kwa kukulilia, we tangaza. Isiwe ya kijanja janja tu. Document zote uwe unazo, service history n.k Mjini wahitaji wa hayo magari ni wengi, network yako tu. Halafu akichelewa kuja huna la kupoteza maana gari unatumia na sio bovu kuwa linakuumiza.
 
Nimekusoma mkuu,
Shukran sn.
Ngoja nipambane kuongeza mtaji tu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ndiyo nahitaji zaidi naomba unijuze.

Yule mzee hajastaafu nilisali nae TAG kipindi sijarudi kwenye ukatoliki wangu, alikua anakaa mitaa ya muungano kwenye mataa pale chato
 
Back
Top Bottom