Chukua gari za mnada ndio zinalipaSalama wakuu,
Naomben muongozo wa namna ya kufanya biashar ya kuuza magari used, kwa upande wa mambo ya kuzingatia, taratibu za kufata, changamoto nk.
Nimeamua kuja na hiyo biashara, baada ya biashar zangu nyingi kufa kwa kukosa usimamizi wa karibu kwan mm ni mtumishi wa umma, pia napenda sana magari.
Hivyo gari ntakuwa nainadi huku naitembelea,
Ikitoka nafata nyingine.
Aidha nawatahadharisha khs kuanzisha biashara ambazo hauna nafas ya kuzisimamia moja kwa moja,
Hilo ni janga kubwa na upotezaji wa pesa.
Karibuni kwa ushauri.[emoji120]
OK zina wateja wake pia na hata huko mnadani unapata mbona?Sawa,
Ila nimetaget kuanza na gari ndogo za M4
Hivi, vp changamoto zake?
Huna mtaji. Fanya mambo mengine utapata stress. Unless unataka kushinda garadge badala ya kufanya kazi. Pata angalau M8 kwa gari ndogo, utanunua gari zuri lisilo na matatizo na kulinadi kwa 9m au 9.5m inakuwa rahisi na hutapoteza muda. Gari ya 4m unaweza tumia m1 kutengeneza bila kujua halafu ukaliuza 4.5mSawa,
Ila nimetaget kuanza na gari ndogo za M4
Hivi, vipi changamoto zake?
Nimekupata,Huna mtaji. Fanya mambo mengine utapata stress. Unless unataka kushinda garadge badala ya kufanya kazi. Pata angalau M8 kwa gari ndogo, utanunua gari zuri lisilo na matatizo na kulinadi kwa 9m au 9.5m inakuwa rahisi na hutapoteza muda. Gari ya 4m unaweza tumia m1 kutengeneza bila kujua halafu ukaliuza 4.5m
Boss, ukiwa na gari zuri mfano una ist yako, nzuri haina shida yoyote kuna mtu atakuja tu tena kwa kukulilia, we tangaza. Isiwe ya kijanja janja tu. Document zote uwe unazo, service history n.k Mjini wahitaji wa hayo magari ni wengi, network yako tu. Halafu akichelewa kuja huna la kupoteza maana gari unatumia na sio bovu kuwa linakuumiza.Nimekupata,
Ila kwa 9-9.5M sidhan kama watakuw wanafika,
Nimekusoma mkuu,Boss, ukiwa na gari zuri mfano una ist yako, nzuri haina shida yoyote kuna mtu atakuja tu tena kwa kukulilia, we tangaza. Isiwe ya kijanja janja tu. Document zote uwe unazo, service history n.k Mjini wahitaji wa hayo magari ni wengi, network yako tu. Halafu akichelewa kuja huna la kupoteza maana gari unatumia na sio bovu kuwa linakuumiza.
Hapo magoli kabisa sogea mwanza utapiga hatua ila mtu kufata geita n kaz labda ununue za geita uzitume mwanza ziiuzweNpo chato geita.
Vipi hapo chato?Npo chato geita.
Simpati Mkuu,
Ukihitaji zaid ntafatilia nikujuze,
Ndiyo nahitaji zaidi naomba unijuze.
Kua makini na Gari za wizi, hapo jela Nje NjeGari za mkononi.