Mwanaomayu
Member
- Jan 26, 2017
- 44
- 35
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuagiza gari Japan inashauriwa mileage yake isizidi ngapi,?Huko TRA unaweza kupata taarifa zipi hasa?
Comprehensive vehicle history report - past owner, accidents, odometer fraud, liens, lemon check, etc,?
Je, kuna sehemu ingine ambayo mtu anaweza kufanya utafiti wake mwenyewe kama ilivyo kwa huduma itolewayo na CARFAX?
Pia ni muhimu kuzingatia mileage.
Kwa kuagiza Japan inashauriwa Mileage isizidi ngapi??Hilo linafanyika sana! Lakini mileage nyingi sio issue as long as gari limehudumiwa vizuri! Wengi wanauziwa magari mabovu kwa kuangalia low mileage,kuna vitu vingi vya kuangalia zaidi ya odometer readings.
Mileage sio kigezo kwasababu inaweza kuchezewa. Unaweza kuona gari inasoma 45000km wakati kiukweli ina 145,000km.Kwa kuagiza Japan inashauriwa Mileage isizidi ngapi??
gari gani hyo mkuu..utuokoe na wengineKuna rafiki yangu aliniomba ushauri kuhusu gari fulani,nikamwambia usinunue lakini baada ya wiki nikamuona nayo!!! Sasa hivi nimekuwa mshauri wake wa kiufundi,kila siku majanga! Papaara mbaya sana
Premio sipati mkuuUnapata. Brevis,verossa,altezza,spacio...wewe tu! Kuna jamaa juzi kauza Noah 7m iko vizuri tu.
NiceUsiogope Mwanangu mm nilipofikia Hatua ya kununua gari nilitulia sana kwanza kablayakununua mwaka 1 nilifanya window shopping karibuu
*3 then ilipofka nilikwenda Ma fund Dereva kutoka mkoani kwangu. Nikaanza mwenyewe window shopping kutoka manyanya yard hadi AAR hosp had US Embassy pale, Nikachua muda Wa sku zngne 3 Na mke wangu tukifunga nakumuomba Bwana atupe gari bora. Wapambe ni Wengi had ktk family take care. Baada ya maombi nikaenda yard pale AAR+ nikapata ki Carina changu bomba kiulaiiinii namwita fund kakikubali. Nikaacha ktambulisho changu cha kaz Kama dhamana nikaenda kulipia huku nyuma kuna mchaga m1 kakipenda. Maana ilikuea December 2015 lkn huku nyuma ktambulisho cha usalama kikawaogopesha wahindi wale hawakumpa mchaga. Hadi Leo kla anayekiona anaksifia Carina yang mpaka basi. Muombe mungu naye hatakutupaa. Carina hii ni roho ya paka namshukuru mungu. USIOGOPE
Haina shida kubwa bali ubora/uzima wa engine hutegemea km na mwaka gari ilipotengenezwa .Wewe hiyo ya kwako hukununua km ikiwa hivyo na pia labda unazingatia service kwa wakati ndio maana ukinunua gari mikononi mwa mtu au used kutoka nje nunua chini ya km 100,000 utakuwa umepata kilicho bora zaidi.Kwani ikitembea km 100,000 tatizo nini? Nina gari ina km 230,000+ na iko vizuri popote naenda muda wowote.
Unajuaje hizo km chini ya 100,000 ni za kweli? Labda ina 250,000km wameichezea wamekuwekea 50,000km.Haina shida kubwa bali ubora/uzima wa engine hutegemea km na mwaka gari ilipotengenezwa .Wewe hiyo ya kwako hukununua km ikiwa hivyo na pia labda unazingatia service kwa wakati ndio maana ukinunua gari mikononi mwa mtu au used kutoka nje nunua chini ya km 100,000 utakuwa umepata kilicho bora zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kk gari ambayo km zake zinasoma kidigital huwezi chakachua km kwani ukichakachua lazima uguse control box na bei yake sijui kama unaijua?Unajuaje hizo km chini ya 100,000 ni za kweli? Labda ina 250,000km wameichezea wamekuwekea 50,000km.
Ubora na uzima wa engine hautegemei mwaka na km za gari. Unategemea matunzo ya gari. Unaweza kuwa na gari ya mwaka 2010 ina km150,000 ikawa na hali nzuri kuliko 2010 yenye km 80,000.
Ha ha ha ha ha pole mkuu. You have a lot to learn about cars!Kk gari ambayo km zake zinasoma kidigital huwezi chakachua km kwani ukichakachua lazima uguse control box na bei yake sijui kama unaijua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kutufungua macho mkuu...Mileage sio kigezo kwasababu inaweza kuchezewa. Unaweza kuona gari inasoma 45000km wakati kiukweli ina 145,000km.
Au inaweza kuwa na 60,000km genuine lakini mmiliki hakuwa anatunza gari, gari ingine ina 90,000km lakini mmiliki analitunza na ana dealer service history ya gari tangu ameinunua mpaka inafikisha hio 90,000km.(service history itakuonesha matengenezo yote gari iliofanyiwa,risiti na dealer aliefanyia,unaweza kuwapigia simu wakakuthibitishia).
Kwangu mimi afadhali ninunune gari lenye 100,000km na dealer service history yake kuliko lenye 40,000km bila service history.