MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

Kk gari ambayo km zake zinasoma kidigital huwezi chakachua km kwani ukichakachua lazima uguse control box na bei yake sijui kama unaijua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda pale gerezani uone digital zinachezewaje, tena fasta tu na wanakushauri iwe ngapi wakishaona inasoma ngapi kwa sasa. sio wewe ndo utaamua isome ngapi exactly.
 
ebwana uzi mzuri saana umeni fungua, mimi binafsi sina uwezo kivile hasa kwenye kumiliki mkoko mshahara kwenye jiwe saba ila dah job hawakopeshi wala bank wanazingua, so uwa natembelea saana kupatana na zoom naona mikweche ya bei cheee na A.dah naitolea macho ila mkuu umenifungua sije ika nicost. wadau hakuna watu wanakopesha magari au cash na mimi nika nunue mkoko? kingine kaka hivi lets say nikaona gari bei gari 2,000,000 hivi najua hio hela ndogo na gari lazima liwe limechoka saana kwa bei je mfano nalichukua then na li tune liwe la kisasa kidogo since nali tune kidogo kidogo je kwa gari kama hayo unayo ya sema engine imeoshwa kuna tatizo?
 
Yapo magari mazuri kwa bei ndogo. Muhimu kuwa makini na unachonunua.
 
Uzi mtamu sana huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uwezekano hata zile za yard zikachezewa mileage. Je nitajuaje haijachezewa? hawana viambatanisho vinavyoonesha gari imetoka japan na km ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye rangi sio yote yaliopogwa rangi yalipata ajali bro, mwingine ni scratch tu anaona bora apige gari zima
 
Nitaionaje hiyo service history mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muombe anaekuuzia gari.
Sawa mkuu.
Naona wewe una uelewa na magari.
Naomba niambie zaidi kuhusu NISSAN JUKE esp ya 2010 or 2011....hasahasa kwenye matumizi yake hasa hapa bongo....fuel economy....spea availability....kutembea masafa marefu na mambo mengine mengi.
Pia naomba uicompare na NISSAN QASHQAI.
Thanks Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…