MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

Hizo ulizotaja sizifahamu kiundani, ila in general Nissan zimetulia barabarani na upande wa spares ni ghali kulinganisha na za Toyota lakini ni spares imara.
QASHQAI=DUALIS
 
Ha ha ha ha ha pole mkuu. You have a lot to learn about cars!
Hahahahahaha achana na mchaga mshamba huyo hizi gari, dash board inatolewa na ndani ya dk 15 unaandikiwa km unazozitaka unatembea. Karibu mjini
 
Msaada mzuri sana umetoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magari ya mkononi yamekuwa nafuu mpaka 1m unapata CARINA safi kabisa. Ngosha kanyoosha watu si mchezo.
 
Okay, nitafute fundi halafu niwe makini maana huwa wanabonyezwa wakufiche.

Kwa hiyo niwe makini kivipi, niwakazie macho muda wote kuhakikisha hawabonyezani?

Vitu vingine easier said than done.
 
Okay, nitafute fundi halafu niwe makini maana huwa wanabonyezwa wakufiche.

Kwa hiyo niwe makini kivipi, niwakazie macho muda wote kuhakikisha hawabonyezani?

Vitu vingine easier said than done.
Tafuta fundi akusaidie. Kuwa makini kuna mafundi huwa wanabonywezwa......sio kila fundi ni mwema, kuwa makini kutafuta huyo fundi.
 
Tafuta fundi akusaidie. Kuwa makini kuna mafundi huwa wanabonywezwa......sio kila fundi ni mwema, kuwa makini kutafuta huyo fundi.

niwe makini kivipi?

fundi wa kutafuta utajuaje kati ya mwema na asiye mwema?
 
Naomba kufahamu kuna mtu mmoja ameniambia anaweza kunisaidia kuagiza gali aina ya vitz, hadi naitia mkononi kwa tsh 5,500,000 tu. Je nikweli au nataka kupigwa changa la macho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…