Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

mkuu nimeipenda review nzuri sana simple and clean
Habari yako chief
Msaada tutani naweza kupata wapi hapa mjini daslam
Microsoft surface Pro 5
Specs zake ni
Intel core i5
8gb ram
256 ssd
Budget yangu ni 700K
Thanx in advance!
 
Habari yako chief
Msaada tutani naweza kupata wapi hapa mjini daslam
Microsoft surface Pro 5
Specs zake ni
Intel core i5
8gb ram
256 ssd
Budget yangu ni 700K
Thanx in advance!
Kwa hio budget unapata nyingi tu mkuu


View: https://www.instagram.com/good_goods_tz/p/C6i1t1vtb90/?img_index=1

Ukiingia fb marketplace unapata hata chini ya laki 7.

Sema kwa ushauri wangu minimum tafuta surface pro 6, kuna utofauti mkubwa baina ya intel gen ya 7 na 8 kwenye perfomance

 
Back
Top Bottom