Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,081
Unaangalia specification onlineshukrani kiongozi ila nawezaje kufahamu kama laptop yangu inakubali ssd ya m2 maana nilikuwa nataka nitumie vyote kwa pamoja ssd pamoja na hdd
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app