Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

mkuu msaada kidogo , nitoe tongotongo kwenye hii i5-7Y57 CPU @ 1.20GHz 1.61 GHz
Hio ni gen ya 7, Y version.

Hizi Y version zinawekwa kwenye laptop nyembamba sana na sifa yake kubwa ni kula umeme mdogo, inatumia watts 4.5 tu kwa saa.

Perfomance pia si haba sema haiwezi kusustain hio perfomance kwa muda mrefu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Nashukuru sana mkuu
 
mkuu ukicompare na hii i5-7300u cpu 2.60ghz 2.71ghz? ipi nzuri zaidi
 
I5 7300u ni nzuri, ila kwa matumizi ya kawaida pengine usione tofauti. Mpaka kuwe na kazi inayotumia cpu mpaka mwisho kwa muda mrefu, mfano kucheza games ndio utaona i5 7300u inaperform vizuri zaidi.
 
kwa hiyo mkuu kama ni kunishauri japo matumizi yangu sio ya games ni kidogo tu graphics design na internet kwa wingi nichukue ipi ? japo nilikuwa na i3-1005G1
 
Hvi mkuu monitor ikiwa na usb port unaweza tumia flash na external disk direct?

Kwa around 150000 hadi 200000 naweza pata monitor nzuri led 22" hadi 24"?
 
Hii i3 1005G1 ni much better. Kwa designs hizi mkuu jipinde angalau gen ya 8, gen ya 7 achana nazo.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hvi mkuu monitor ikiwa na usb port unaweza tumia flash na external disk direct?

Kwa around 150000 hadi 200000 naweza pata monitor nzuri led 22" hadi 24"?
Most of time zinachaji simu tu hizo usb ila inawezekana monitor kupitisha hizo data.

Kama zina port nyingi connect USB toka monitor hadi desktop then USB zilizobakia zitafanya kazi ya kuweka flash ama external

Nyengine hutumia cable kama za printer ku activate.

Cha muhimu ni kusoma model na namna ya kutumia kabla hujanunua.

Mimi nina Aoc hapa 24' nilinunua hio laki 2, gaming monitor ya 144hz. Sema ina quality mbovu kweli.

Kwa monitor za kawaida za maofisini unapata hizi za kina Dell na HP za inch 24, full HD ambazo zina quality nzuri na bezell nyembamba cheki machinga kule,
 
Quality mbovu mkuu ina tatizo tu au ndivyo imetengenezwa.
Gaming monitor zinatumia panel kama VA ama TN hazina rangi nzuri by nature. Una sacrifice uzuri wa kioo kwa input lag ndogo na refresh rate kubwa.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Gaming monitor zinatumia panel kama VA ama TN hazina rangi nzuri by nature. Una sacrifice uzuri wa kioo kwa input lag ndogo na refresh rate kubwa.
So unanishaurije niachane na monitor nibaki kwenye TV? Maana nataka ya budget ndogo. Sasa kama na ww unalalama kuhusu quality ya gaming. Wakati me nataka ikimbia tv ili nipate quality nzr kwenye gaming.
 
Monitor za kawaida ni nzuri kuliko TV kwa gaming. Hivyo kama uzuri wa picha ni priority tafuta monitor za kawaida.
 
Most of time zinachaji simu tu hizo usb ila inawezekana monitor kupitisha hizo data.

Kama zina port nyingi connect USB toka monitor hadi desktop then USB zilizobakia zitafanya kazi ya kuweka flash ama external

Nyengine hutumia cable kama za printer ku activate.

Cha muhimu ni kusoma model na namna ya kutumia kabla hujanunua.

Mimi nina Aoc hapa 24' nilinunua hio laki 2, gaming monitor ya 144hz. Sema ina quality mbovu kweli.

Kwa monitor za kawaida za maofisini unapata hizi za kina Dell na HP za inch 24, full HD ambazo zina quality nzuri na bezell nyembamba cheki machinga kule,

Za hp na dell mpe budget pia. Maana ni kuanzia 350k kwenda juu
 
Wakuu nauza setup yangu complete kama ilivo
Core !5.....4generation....hard disk.. 1tb......8ram......graphics card....amd...rx....550...2gb.........gddr5.........monitor..multlsync ea291wmi... Nch..29 wide-screen 1080p .... Inakuja na. Stend yake.. inafanya edit zote za graphics. Iko na game nyingi sana monitor nnch 29 kwa gaming ni nzur zaidi pia hata movie ikiwa haina quality kubwa inasaidia kukupa rangi nzuri zaidi ina hdmi usb Port vga dvi..WhatsApp no.0687735211[emoji120][emoji120]
IMG_20210916_100659_920.jpg
 
habari kiongozi nina hp probook G5 ina hdd 500gb nilikuwa nauliza naweza kuweka ssd na pia sina uelewa na ssd huwa zinaweza kuwekwa kwenye laptop yoyote na huwa zinauzwa kama zilivyo hard disk

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Ndio unaweza mkuu. Laptop ikiwa na hdd unaweza weka ssd, na zinauzwa kama hdd, muonekano pia ni sawa sema tu ssd zinakuwa nyepesi.

Sema kuna ssd za aina kuu mbili m2 na sata,

Sata zinaingia laptop yoyote na m2 ni mpaka laptop iwe na m2.

Laptop ikiwa na m2 unaweza tumia vyote pamoja hdd ya sata na SSD ya m2.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
shukrani kiongozi ila nawezaje kufahamu kama laptop yangu inakubali ssd ya m2 maana nilikuwa nataka nitumie vyote kwa pamoja ssd pamoja na hdd

Back
Top Bottom