Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

So unanishaurije niachane na monitor nibaki kwenye TV? Maana nataka ya budget ndogo. Sasa kama na ww unalalama kuhusu quality ya gaming. Wakati me nataka ikimbia tv ili nipate quality nzr kwenye gaming.
Kama uko vizuri nicheki niko na monitor nch 29 now situmii kabisa so naweza kukuachia tu
 
Nina swali

No vitu gani vingine vinaweza ongezwa kwenye pc yenye core i5

Ukitoa hivi

Ssd
Ram

Leo kuifanya iwe na performance kubwa na ifanye kazi nyingi
 
Nina swali

No vitu gani vingine vinaweza ongezwa kwenye pc yenye core i5

Ukitoa hivi

Ssd
Ram

Leo kuifanya iwe na performance kubwa na ifanye kazi nyingi
Hivyo ndio muhimu zaidi unaweza pia kubadili

-display kwa baadhi ya laptop, zinakuja na 1366x768 na unakuwa na option ya kwenda 1080p

-wifi adapter ambayo ina wifi na Bluetooth za kisasa hasa kama una stream laptop yako kwenda vifaa vyengine kama tv na simu inasaidia.
 
Shukrani sana kiongozi
 
Unaweza badiri kioo kutoka hd kwenda full hd?
 
Unaweza badiri kioo kutoka hd kwenda full hd?
Ndio inawezekana, sina uhakika kama laptop zote zinakubali ila zipo laptop nyingi tu zina hio option tena official toka kwa manufacture.
 
Ndugu mimi nilikuwa nataka kununua laptop ya mtumba je ni sehemu gani nzuri naweza pata
Discount kubwa sometime wanakuwa na laptop kali sana za bei nafuu (laki 4 kushuka) ila si muda wote sometime na wao wana vimeo kutegemea na mzigo.

Pia tembelea mitaa hii
-agrey na likoma kkoo, hasa hasa jengo linaloangalizana na Bank ya mkombozi
-uhuru na msimbazi ile hadi uhuru na swahili kama unaenda mnazi mmoja
-machinga Complex.
 
Poa ndugu,mimi sio mjuzi sana ,nataka kutumia kwa matumizi ya kawaida tu kama kucheza game,kudownload filamu,na kutazama,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…