Hivi niliona kina zile pin online unakuta ipo 24 to 8pin si ziko poa?Psu haina neno mkuu, issue ni pc yako haitakubali hio psu sababu pin zinakuwa tofauti za kuchomekea na umbo pia lipo tofauti unless ubadili motherboard.
umeipata wap mkuu?Mkuu VIP hiii PSU inaweza kufaa kwenye baadhi ya card?View attachment 2390912
Hivi niliona kina zile pin online unakuta ipo 24 to 8pin si ziko poa?
24 ndio standard, sasa itategemea na desktop husika, nyengine ukitafuta tu waya kama huo inapiga kazi, nyengine inabidi utafute waya na uzibadili badili etc. Hivyo mpaka ujue exactly desktop gani unadeal nayo.
Kuna mashine moja ilikufa processor ndio nikachukua Ila bado cjaifunga kwanguumeipata wap mkuu?
Habari Chief? Hivi kuna Tofauti gani kati ya i7 3770 {2012} na i3 12100f {2021} maana zote zina cores 4 na thread 8...24 ndio standard, sasa itategemea na desktop husika, nyengine ukitafuta tu waya kama huo inapiga kazi, nyengine inabidi utafute waya na uzibadili badili etc. Hivyo mpaka ujue exactly desktop gani unadeal nayo.
i3 12100F itakua na nguvu zaidiHabari Chief? Hivi kuna Tofauti gani kati ya i7 3770 {2012} na i3 12100f {2021} maana zote zina cores 4 na thread 8...
Huku i7 ikiwa na integrated gpu {HD 4000} na hiyo i3 haina ??
Rx 580 inapeleka god of war hata kwa 1080p ni gpu kali tu.Alafu naona kwenye psu Watts zake ni za kawaida Tu!View attachment 2395805
Ina maana gpu inapokea umeme toka kwenye power supply, tofauti na ya sasa ambayo inachukua toka kwenye motherboard.Hebu nielekeze kuhusu izo 8 pin Kaka inakua na maana gan?
Ooh Ila si kuna uwezekano wakuchange PSU na nikaitumia au motherboard yangu inaweza kusumbua?Ina maana gpu inapokea umeme toka kwenye power supply, tofauti na ya sasa ambayo inachukua toka kwenye motherboard.
Kama psu yako haina hizo waya huwezi tumia hio gpu,
Motherboard na pin zake ndio ina determine aina ya psuOoh Ila si kuna uwezekano wakuchange PSU na nikaitumia au motherboard yangu inaweza kusumbua?
Rx 580 ina nguvu kushinda Gpu zote nilizokutajia za low profile kama Gtx 1650, 6400xt, 1050, 750ti, 1030, 1630 etc.So hapo nikununua mashine mpya Tu!
VIP izo graphics card ulizo nishauli awali
Zinaweza kuwa na nguvu kama Hii Rx 580?
Uncharted pia inataka gtx 960Kazi IPO!
Kwa sasa naitaji GPU itayo nisogeza hata 3 years mbele
Hii yangu kwa sasa bado ina sua sua hapa Niko na Uncharted Thief collection nafanya installation Ila imani yangu ni ndogo Sana kwenye kuplay aseee
Gaming PC ukiagizia complete kwa budget ya 500k zinaweza kupata ya uhakika Sana!
Mkuu hivi hii custom pc nikitoa hii Geforce 9800GTX na kuweka GPU kubwa, ntavimba nayo kwa miaka mingapi mbele [emoji1]Uncharted pia inataka gtx 960
Huwezi pata Gaming pc ya uhakika kwa 500k. Ila waweza pata machine nzuri ambayo inaweza kuwa basis ya gaming pc yako ya baadae. Issue hii ni kazi sana kutafuta hasa kibongo bongo kupata machine inayotumia standard psu.
Option hapa ni
1. Tafuta adapter ya psu kama inakubali
2. Badili motherboard ili utumie standard psu.
Motherboard used haitafika hata 100k