Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Psu haina neno mkuu, issue ni pc yako haitakubali hio psu sababu pin zinakuwa tofauti za kuchomekea na umbo pia lipo tofauti unless ubadili motherboard.
Hivi niliona kina zile pin online unakuta ipo 24 to 8pin si ziko poa?
 
24 ndio standard, sasa itategemea na desktop husika, nyengine ukitafuta tu waya kama huo inapiga kazi, nyengine inabidi utafute waya na uzibadili badili etc. Hivyo mpaka ujue exactly desktop gani unadeal nayo.
 
Screenshot_20221020-080430.png
 
24 ndio standard, sasa itategemea na desktop husika, nyengine ukitafuta tu waya kama huo inapiga kazi, nyengine inabidi utafute waya na uzibadili badili etc. Hivyo mpaka ujue exactly desktop gani unadeal nayo.
Habari Chief? Hivi kuna Tofauti gani kati ya i7 3770 {2012} na i3 12100f {2021} maana zote zina cores 4 na thread 8...

Huku i7 ikiwa na integrated gpu {HD 4000} na hiyo i3 haina ??
 
i3 12100F itakua na nguvu zaidi

Hii passmark score ya i3 12100F

Capture+_2022-10-21-11-07-57.png

Hii ya i7 3770
Capture+_2022-10-21-11-10-29.png

Hivyo unaona 12100F ina nguvu kama mara 2 ya 3770.

Na ni kweli cpu za intel zinazoishiwa na F haziji na gpu za ndani, inabidi utafute mwenyewe gpu ya nje ununue.

Ipo i3 12100 ambayo haina F kwa mbele inayo gpu ya ndani.
 
Chief Hii VIP maana budget yangu sio nzuri Sana Ila kwa Hii nimeona nafuu
Screenshot_20221023-210822.jpg
 
Hebu nielekeze kuhusu izo 8 pin Kaka inakua na maana gan?
Ina maana gpu inapokea umeme toka kwenye power supply, tofauti na ya sasa ambayo inachukua toka kwenye motherboard.

Kama psu yako haina hizo waya huwezi tumia hio gpu,
 
Ooh Ila si kuna uwezekano wakuchange PSU na nikaitumia au motherboard yangu inaweza kusumbua?
 
So hapo nikununua mashine mpya Tu!

VIP izo graphics card ulizo nishauli awali
Zinaweza kuwa na nguvu kama Hii Rx 580?
 
Rx 580 ina nguvu kushinda Gpu zote nilizokutajia za low profile kama Gtx 1650, 6400xt, 1050, 750ti, 1030, 1630 etc.

Na haitofautiani sana na gpu nyengine kama 1660,

Kwa hio bei ina value kubwa, sema kuwa makini tu na ubora, pengine hapo imeshachimbiwa bitcoin vya kutosha inakaribia kufa.

Kuhusu machine ipo njia nyengine ya kutumia adapter na custom case, ila inabidi ufanye utafiti wa maana kujua kama machine yako inakubali.
 
Kazi IPO!

Kwa sasa naitaji GPU itayo nisogeza hata 3 years mbele

Hii yangu kwa sasa bado ina sua sua hapa Niko na Uncharted Thief collection nafanya installation Ila imani yangu ni ndogo Sana kwenye kuplay aseee

Gaming PC ukiagizia complete kwa budget ya 500k zinaweza kupata ya uhakika Sana!
 
Uncharted pia inataka gtx 960

Huwezi pata Gaming pc ya uhakika kwa 500k. Ila waweza pata machine nzuri ambayo inaweza kuwa basis ya gaming pc yako ya baadae. Issue hii ni kazi sana kutafuta hasa kibongo bongo kupata machine inayotumia standard psu.

Option hapa ni
1. Tafuta adapter ya psu kama inakubali
2. Badili motherboard ili utumie standard psu.

Motherboard used haitafika hata 100k
 
Mkuu hivi hii custom pc nikitoa hii Geforce 9800GTX na kuweka GPU kubwa, ntavimba nayo kwa miaka mingapi mbele [emoji1]

I7 3770

PSU 750W

Au ndo nianze kutafuta MOBO za gen ya 8 na kuendelea?
20220625_001948.jpg
 
Back
Top Bottom