Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,461
Naona kuna E655 model nyingi za Toshiba, Nec etc.kaka nimefanikiwa kuchukua ile hp monitor e273q ni kweli ni qhd ila ipo model hyo hyo ambayo inaishiwa na m ni full hd pekee
sasa shida ile laptop yangu (imekufa kioo) ukiiwasha inaaunguruma tu kwa sauti ukubwa na haiendelei chochote na inapata moto sanaa upande wa feni
model yke ni e655
msaada tafadhali??
ni hp e655Naona kuna E655 model nyingi za Toshiba, Nec etc.
Inaunguruma haiwaki? Hakuna beep za sauti ama miwako ya taa tofauti tofauti?
Kama inaunguruma inawaka ama inaunguruma inawaka kisha inazima angalia thermal paste kama imekauka weka nyengine.
Zinawaka kwa mpangilio na kublink ama zinawaka moja kwa moja?ni hp e655
tea zinawaka 2 tu
na kuunguruma
kma ilivyo pichani hpoView attachment 2412804View attachment 2412805
zinawaka moja kwa moja, zamani zilikuwa zinawaka kwa kublink computer ilikuwa fresh tuZinawaka kwa mpangilio na kublink ama zinawaka moja kwa moja?
Na kwenye monitor hakuonekani chochote hata bios haiiingii?zinawaka moja kwa moja, zamani zilikuwa zinawaka kwa kublink computer ilikuwa fresh tu
ila sasa hvi ndo inaishia hivyo tu
hakuna kinachoonesha kwnye monitorNa kwenye monitor hakuonekani chochote hata bios haiiingii?
Maybe itakuwa ni tatizo la hardware ambalo sio common. Kama una fundi karibu ipeleke aifanyie diagnosis.
miaka 9 parefu sana mkuu, huko kuunguruma sometime ni cooling tu imefeli inaweza kuwa tatizo dogo, ipeleke kwa fundi.hakuna kinachoonesha kwnye monitor
zaidi ya no input signal
ngoja nitaenda kwa fundi
laptop ina mwaka wa 9 sasa.
sawa kakamiaka 9 parefu sana mkuu, huko kuunguruma sometime ni cooling tu imefeli inaweza kuwa tatizo dogo, ipeleke kwa fundi.
asante kaka mashine imewaka baada ya kubadili rammiaka 9 parefu sana mkuu, huko kuunguruma sometime ni cooling tu imefeli inaweza kuwa tatizo dogo, ipeleke kwa fundi.
Price??
na kubadili thermal paste kwa toshiba ni kiasi gani.Naona kuna E655 model nyingi za Toshiba, Nec etc.
Inaunguruma haiwaki? Hakuna beep za sauti ama miwako ya taa tofauti tofauti?
Kama inaunguruma inawaka ama inaunguruma inawaka kisha inazima angalia thermal paste kama imekauka weka nyengine.
Thermal paste ni hio hio machine zote, toa vumbi, weka thermal paste, hakikisha cooling na cpu vimegusana, inasaidia kutatua matatizo mengi ya Coolingna kubadili thermal paste kwa toshiba ni kiasi gani.
maana yangu ina kwaka ukiwasha wakati ina load au kabla ina zima, na unaweza washa hata mara 7 ndo ikakubali na ukifungua site kuwa inapata moto fen ina unguruma kisha ina zima tena.
na saizi ndo imekuwa kero
asante na una zungu mziaje swala la kuongeza ram kupiti flash.Thermal paste ni hio hio machine zote, toa vumbi, weka thermal paste, hakikisha cooling na cpu vimegusana, inasaidia kutatua matatizo mengi ya Cooling
Hapana, ram bei rahisi sana ongeza tu mwenyewe. Flash ipo slow sana haiwezi. Tumika kama ram.asante na una zungu mziaje swala la kuongeza ram kupiti flash.
huwa ina leta matokeo chanya
Haina mkuu bora ununue simu kwa hio bei utapata kifaa chenye nguvu kuliko hio laptop.chief naomba kuuliza
hp stream 11 G2
intel celeon
4gb ram
64gb ssd
500 hdd
nauziwa kwa sh 300k
inavalue for money??
Asante chief kwa ushauriHaina mkuu bora ununue simu kwa hio bei utapata kifaa chenye nguvu kuliko hio laptop.
Kwa hizi celeron na pentium silver ukipata za Gemini lake ama Jasper lake angalau zina value, na nunua kama tu una uhitaji wa kifaa kisichokula umeme.
Otherwise tafuta tu i3/i5/i7 kwa budget hio gen ya 2 mpaka 5 hivi unaweza pata.
chief naomba kuuliza
hp stream 11 G2
intel celeon
4gb ram
64gb ssd
500 hdd
nauziwa kwa sh 300k
inavalue for money??
Price??