Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

kaka nimefanikiwa kuchukua ile hp monitor e273q ni kweli ni qhd ila ipo model hyo hyo ambayo inaishiwa na m ni full hd pekee

sasa shida ile laptop yangu (imekufa kioo) ukiiwasha inaaunguruma tu kwa sauti ukubwa na haiendelei chochote na inapata moto sanaa upande wa feni

model yke ni e655

msaada tafadhali??
Naona kuna E655 model nyingi za Toshiba, Nec etc.

Inaunguruma haiwaki? Hakuna beep za sauti ama miwako ya taa tofauti tofauti?

Kama inaunguruma inawaka ama inaunguruma inawaka kisha inazima angalia thermal paste kama imekauka weka nyengine.
 
ni hp e655

tea zinawaka 2 tu

na kuunguruma

kma ilivyo pichani hpoView attachment 2412804
20221111_012045.jpg
 
zinawaka moja kwa moja, zamani zilikuwa zinawaka kwa kublink computer ilikuwa fresh tu

ila sasa hvi ndo inaishia hivyo tu
Na kwenye monitor hakuonekani chochote hata bios haiiingii?

Maybe itakuwa ni tatizo la hardware ambalo sio common. Kama una fundi karibu ipeleke aifanyie diagnosis.
 
Na kwenye monitor hakuonekani chochote hata bios haiiingii?

Maybe itakuwa ni tatizo la hardware ambalo sio common. Kama una fundi karibu ipeleke aifanyie diagnosis.
hakuna kinachoonesha kwnye monitor

zaidi ya no input signal

ngoja nitaenda kwa fundi

laptop ina mwaka wa 9 sasa.
 
hakuna kinachoonesha kwnye monitor

zaidi ya no input signal

ngoja nitaenda kwa fundi

laptop ina mwaka wa 9 sasa.
miaka 9 parefu sana mkuu, huko kuunguruma sometime ni cooling tu imefeli inaweza kuwa tatizo dogo, ipeleke kwa fundi.
 
Naona kuna E655 model nyingi za Toshiba, Nec etc.

Inaunguruma haiwaki? Hakuna beep za sauti ama miwako ya taa tofauti tofauti?

Kama inaunguruma inawaka ama inaunguruma inawaka kisha inazima angalia thermal paste kama imekauka weka nyengine.
na kubadili thermal paste kwa toshiba ni kiasi gani.

maana yangu ina kwaka ukiwasha wakati ina load au kabla ina zima, na unaweza washa hata mara 7 ndo ikakubali na ukifungua site kuwa inapata moto fen ina unguruma kisha ina zima tena.
na saizi ndo imekuwa kero
 
Thermal paste ni hio hio machine zote, toa vumbi, weka thermal paste, hakikisha cooling na cpu vimegusana, inasaidia kutatua matatizo mengi ya Cooling
 
Thermal paste ni hio hio machine zote, toa vumbi, weka thermal paste, hakikisha cooling na cpu vimegusana, inasaidia kutatua matatizo mengi ya Cooling
asante na una zungu mziaje swala la kuongeza ram kupiti flash.

huwa ina leta matokeo chanya
 
chief naomba kuuliza

hp stream 11 G2
intel celeon
4gb ram
64gb ssd
500 hdd

nauziwa kwa sh 300k

inavalue for money??
 
chief naomba kuuliza

hp stream 11 G2
intel celeon
4gb ram
64gb ssd
500 hdd

nauziwa kwa sh 300k

inavalue for money??
Haina mkuu bora ununue simu kwa hio bei utapata kifaa chenye nguvu kuliko hio laptop.

Kwa hizi celeron na pentium silver ukipata za Gemini lake ama Jasper lake angalau zina value, na nunua kama tu una uhitaji wa kifaa kisichokula umeme.

Otherwise tafuta tu i3/i5/i7 kwa budget hio gen ya 2 mpaka 5 hivi unaweza pata.
 
Asante chief kwa ushauri
 
chief naomba kuuliza

hp stream 11 G2
intel celeon
4gb ram
64gb ssd
500 hdd

nauziwa kwa sh 300k

inavalue for money??

Karibu nikuuzie HP probook 6470B kwa 350,000.

Ni core i5 5th Gen, RAM 8GB, 256 SSD. Ni Refubrished toka nje ya nchi. Clean condition.

Tunapatikana Machinga Complex.

7A1FD87C-3480-4E76-A2CC-F94870F24C24.jpg
 
Karibu Ozone Technologies tukupatie SSD mpya kabisa size unayohitaji. Tuna kampuni za Kingston, Kingspec na WD. Bei zetu ni nafuu sana. Jionee mwenyewe hapa chini bei zetu zilivyo rahisi.

Karibu tukusaidie kuipa kasi computer yako. Tunapatikana Machinga complex.

FDDFA3B0-EE00-4125-8BF9-920C9CF8DACD.jpg

282D7228-CA66-45A2-BEEB-4018AFC1334C.jpg

D4AED23C-9077-4999-8792-3CE1A375A382.jpg

906C8DB1-6DCC-4FDB-BB5C-CA9F7B419192.jpg

052EEDED-5FC2-4089-B70B-527C5B9E9108.jpg

24B45813-EAA7-4015-8853-8F707E2256CB.jpg

EEF0DC00-0A12-421D-8376-9015A6964801.jpg

611D3C77-6F0F-49B9-8D2D-A8B6DBA416B4.jpg

1A6CAC19-BFED-43B6-ACF9-76860F1E4A79.jpg
 
Back
Top Bottom