Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,461
Naona kuna E655 model nyingi za Toshiba, Nec etc.kaka nimefanikiwa kuchukua ile hp monitor e273q ni kweli ni qhd ila ipo model hyo hyo ambayo inaishiwa na m ni full hd pekee
sasa shida ile laptop yangu (imekufa kioo) ukiiwasha inaaunguruma tu kwa sauti ukubwa na haiendelei chochote na inapata moto sanaa upande wa feni
model yke ni e655
msaada tafadhali??
Inaunguruma haiwaki? Hakuna beep za sauti ama miwako ya taa tofauti tofauti?
Kama inaunguruma inawaka ama inaunguruma inawaka kisha inazima angalia thermal paste kama imekauka weka nyengine.