Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

EliteBook 745 G6 14" Notebook - 1920 x 1080 - Ryzen 7 3700U - 8 GB RAM - 256 GB SSD
AMD Radeon RX Vega 10 Graphics 2GB

Vipi kuhusu hii chief
Most of time ukisikia Vega kwenye laptop za Amd ujue ni gpu tu ya ndani kama intel HD ama intel iris huwa haina maajabu kivile.

Hizo ni ryzen za mwanzo kabisa hivyo ni Equivalent na gen ya 8/9 bei zake ni 600,000-800,000
 
bei hapa bongo au

ila 2gb mkuu sio nyingi au ni changa la macho
 
Igp inatumia ram za computer hio 2GB wanasema tu inaweza kuwa 1gb ama 8gb etc inategemea ume allocate kiasi gani cha ram kitumike. Na ram ya gpu si kigezo cha nguvu yake.

Hio bei ni thamani ya laptop
 
Habari Chief-Mkwawa

Kwa budget ya 300,000
Ni bora mtu kwenda na ipi kati ya
Gtx 1660 super 6gb na rx 5500 xt 8gb

Screenshot_20230508-101424.jpg
Screenshot_20230508-101317.jpg
 
Tafuta machine ya 8th gen minimum itarun Adobe, hii utaipata around laki 4.

Sema comsider kwa baadae kutafuta Gpu ya Nvidia 1050ti ama zaidi, hii official ipo supported na Adobe
Habari masta. Sorry. Hiv hp elite book 840gz
intel core i7-5600u naambiw 550k hii bei ipoje? Na kama unataka Internet inayoshika zaid ssd kushid hdd? Kwa bei hizi nawwez pata mashine ipi
 
550k kwa gen ya 5 ni ghali mkuu, strive upate gen ya 8 kuendelea, hata kama itakua ni i3 ama i5 zitakua nzuri kuliko i7 za gen ya 7 kushuka.

Discountkubwa walikua wanauza gen ya 7 around laki 4.

Ssd nu nzuri zaidi haisadii internet ila inasaidia machine kufungua vitu upesi upesi.
 
Kwa hio nimeelewa hapa kuwa ni base na gen ambazo ni zile namba nne ambayo namba ya mwanzo ndio inatambulisha generation. Kwa maana hio.
 
Habari masta. Sorry. Hiv hp elite book 840gz
intel core i7-5600u naambiw 550k hii bei ipoje? Na kama unataka Internet inayoshika zaid ssd kushid hdd? Kwa bei hizi nawwez pata mashine ipi

Njoo pia nikupe hizi mashine kwa bei rahisi kabisa zikiwa na warranty.

1. Elitebook 840 G1, core i5 - 4th Gen, 256 GB SSD, 8GB RAM, 14 inch screen kwa 380,000.

2. HP elitebook 820 G2, Core i5 - 5th Gen, 256 GB SSD, 8 GB RAM, 12 inch screen kwa 380,000

3. Dell Latitude 7250, Core i5 - 5th Gen, 256 GB SSD Storage, 8GB RAM, 12 inch screen kwa 370,000.
 
Back
Top Bottom