Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,581
Most of time ukisikia Vega kwenye laptop za Amd ujue ni gpu tu ya ndani kama intel HD ama intel iris huwa haina maajabu kivile.EliteBook 745 G6 14" Notebook - 1920 x 1080 - Ryzen 7 3700U - 8 GB RAM - 256 GB SSD
AMD Radeon RX Vega 10 Graphics 2GB
Vipi kuhusu hii chief
bei hapa bongo auMost of time ukisikia Vega kwenye laptop za Amd ujue ni gpu tu ya ndani kama intel HD ama intel iris huwa haina maajabu kivile.
Hizo ni ryzen za mwanzo kabisa hivyo ni Equivalent na gen ya 8/9 bei zake ni 600,000-800,000
Igp inatumia ram za computer hio 2GB wanasema tu inaweza kuwa 1gb ama 8gb etc inategemea ume allocate kiasi gani cha ram kitumike. Na ram ya gpu si kigezo cha nguvu yake.bei hapa bongo au
ila 2gb mkuu sio nyingi au ni changa la macho
1660 ni nzuri zaidi mkuu.Habari Chief-Mkwawa
Kwa budget ya 300,000
Ni bora mtu kwenda na ipi kati ya
Gtx 1660 super 6gb na rx 5500 xt 8gb
View attachment 2614130View attachment 2614131
Habari Chief-Mkwawa
Kwa budget ya 300,000
Ni bora mtu kwenda na ipi kati ya
Gtx 1660 super 6gb na rx 5500 xt 8gb
View attachment 2614130View attachment 2614131
NdioHivi na hii inahitaji power ya ziada!
Adobe ya mwaka gani? Pia GPU ndio suluisho ya Adobe uwanayo kubwa ndio uta enjoy maishaBoss desktop bajeti ya 300-500k inayosuppot adobe master collection kurun smooth ni ipi?
Tafuta machine ya 8th gen minimum itarun Adobe, hii utaipata around laki 4.Boss desktop bajeti ya 300-500k inayosuppot adobe master collection kurun smooth ni ipi?
Shukran sana kiongoziTafuta machine ya 8th gen minimum itarun Adobe, hii utaipata around laki 4.
Sema comsider kwa baadae kutafuta Gpu ya Nvidia 1050ti ama zaidi, hii official ipo supported na Adobe
Habari masta. Sorry. Hiv hp elite book 840gzTafuta machine ya 8th gen minimum itarun Adobe, hii utaipata around laki 4.
Sema comsider kwa baadae kutafuta Gpu ya Nvidia 1050ti ama zaidi, hii official ipo supported na Adobe
550k kwa gen ya 5 ni ghali mkuu, strive upate gen ya 8 kuendelea, hata kama itakua ni i3 ama i5 zitakua nzuri kuliko i7 za gen ya 7 kushuka.Habari masta. Sorry. Hiv hp elite book 840gz
intel core i7-5600u naambiw 550k hii bei ipoje? Na kama unataka Internet inayoshika zaid ssd kushid hdd? Kwa bei hizi nawwez pata mashine ipi
Kwa hio nimeelewa hapa kuwa ni base na gen ambazo ni zile namba nne ambayo namba ya mwanzo ndio inatambulisha generation. Kwa maana hio.550k kwa gen ya 5 ni ghali mkuu, strive upate gen ya 8 kuendelea, hata kama itakua ni i3 ama i5 zitakua nzuri kuliko i7 za gen ya 7 kushuka.
Discountkubwa walikua wanauza gen ya 7 around laki 4.
Ssd nu nzuri zaidi haisadii internet ila inasaidia machine kufungua vitu upesi upesi.
Ndio hio ni inaanziwa na 5 kwa maelfu ni gen ya 5Kwa hio nimeelewa hapa kuwa ni base na gen ambazo ni zile namba nne ambayo namba ya mwanzo ndio inatambulisha generation. Kwa maana hio.
Habari masta. Sorry. Hiv hp elite book 840gz
intel core i7-5600u naambiw 550k hii bei ipoje? Na kama unataka Internet inayoshika zaid ssd kushid hdd? Kwa bei hizi nawwez pata mashine ipi
Habari masta. Sorry. Hiv hp elite book 840gz
intel core i7-5600u naambiw 550k hii bei ipoje? Na kama unataka Internet inayoshika zaid ssd kushid hdd? Kwa bei hizi nawwez pata mashine ipi
Picha hazufungukKaribu nikupatie Dell 7390, core i5 - Generation ya 8, 256 GB SSD Storage, RAM 8GB , 13.3 inch touch screen display kwa 600,000 TSh.
View attachment 2666789
View attachment 2666790
View attachment 2666791
View attachment 2666792
View attachment 2666793